Wema Sepetu ameanza kuzeeka sasa!!

Wema Sepetu ameanza kuzeeka sasa!!

Muulize Wema au mwanamke yeyote kama wewe Mwanaume umeoa muulize mkeo akwambie kama hujaoa una girl friend au unatarajia kuoa muulize msichana yeyote kuwa eti nyie mwanaume.wa maana kwenu vigezo ni vipi? Kama huna wote hao muulize mama mzazi aliyekuzaa yeye akisikia Mwanaume wa maana sifa zake zipi

Nakuhakikishia mama mzazi atatema cheche za kufa mtu za kueleweka bila chenga

Maelezo mengi lakini hujajibu swali?!
 
Tangu mwaka 2006 aliposhiriki mashindano ya Miss Tanzania, Umri wa Wema Sepetu ni kama ulisimama, haukuwahi kusonga mbele. Kwanini? Yeye kila akiulizwa anasema ana miaka 26 na hakuwahi kuvuka hapo miaka kwa miaka. Yaani akipata interview yoyote kama ataulizwa swali la umri basi ni miaka 26.

Lakini kwasiku za karibuni ameanza kuzeeka, sura imeanza kuwa ya kiutu uzima sasa. Nadhani sasa akiulizwa umri walau atatuambia ana miaka 30.

Ama kweli wakati ni ukuta na huwezi kupambana nao! View attachment 2594378
Whozu kaongea juzi kadai wema anapenda kufanya mapenzi sana kila mda anataka kitu
 
Tangu mwaka 2006 aliposhiriki mashindano ya Miss Tanzania, Umri wa Wema Sepetu ni kama ulisimama, haukuwahi kusonga mbele. Kwanini? Yeye kila akiulizwa anasema ana miaka 26 na hakuwahi kuvuka hapo miaka kwa miaka. Yaani akipata interview yoyote kama ataulizwa swali la umri basi ni miaka 26.

Lakini kwasiku za karibuni ameanza kuzeeka, sura imeanza kuwa ya kiutu uzima sasa. Nadhani sasa akiulizwa umri walau atatuambia ana miaka 30.

Ama kweli wakati ni ukuta na huwezi kupambana nao! View attachment 2594378
hata wewe ulikuwa mtoto, utakuwa mvuana, mwaume na baadae utaitwa mzee!
kuzeeka siyo dhambi ingawa unahitaji kujitunza!
 
Si dhambi
Tangu mwaka 2006 aliposhiriki mashindano ya Miss Tanzania, Umri wa Wema Sepetu ni kama ulisimama, haukuwahi kusonga mbele. Kwanini? Yeye kila akiulizwa anasema ana miaka 26 na hakuwahi kuvuka hapo miaka kwa miaka. Yaani akipata interview yoyote kama ataulizwa swali la umri basi ni miaka 26.

Lakini kwasiku za karibuni ameanza kuzeeka, sura imeanza kuwa ya kiutu uzima sasa. Nadhani sasa akiulizwa umri walau atatuambia ana miaka 30.

Ama kweli wakati ni ukuta na huwezi kupambana nao! View attachment 2594378
I
 
Back
Top Bottom