Wema Sepetu ameanza kuzeeka sasa!!

Wema Sepetu ameanza kuzeeka sasa!!

IMG_9517.jpg
 
Kabisa mkuu, tuombe mwisho mwema kwani ikiwa mwenyezi MUNGU atakujalia mwisho mwema lazima utazeeka tu hapa nilipo Kuna baadhi ya vijana wananiita Mzee,huwa nashtuka, lakini nikilinganisha na umri wangu basi Wana haki
Hahahaaa! uzee siku hizi watu wanaita tu,unakuta mtu ana miaka 39 au 40,anaitwa mzee,ila akimuona Zitto Kabwe au Nape na January anawaita vijana.Nadhani watu wengi he kwasasa hawajui kutofautisha kijana,mtu mzima au mbaba na mzee.
 
Ila kama stori za kudeti na watu mbalimbali ni za kweli,basi huyu dada kachezea kwelikweli huku akiwa sambamba na bongo muvi,kachezea kwelikweli yaani kwelikweli.
 
U
.......licha ya kuwa wengi tunapenda kuishi miaka mingi lakini deep down tunauchukia uzee, uzee ukizidi ni ugonjwa, lakini pia uzee maana yake ni kuacha mazuri mengi ya ujanani, so ni masikitiko, tusiwaseme watu wenye umri mkubwa au wanaoelekea uzeeni, inaumiza kiasi fulani kuuaga ujana, na zaidi ya yote wote tutazeeka na kufariki, kama huyo Wema akipita hapa hatuwezi kujisikia vizuri kwakweli, tujali hisia za wenzetu.......huwa najisikia vibaya nikiona picha za sasa za Celine Dion daa!!.........
Uzee ni baraka!Kuna watu hawajapata nafasi ya kuzeeka they are forever young in heaven
 
Back
Top Bottom