Wema Sepetu amefunguka kuwa yeye ni mwana CCM

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Akiwa amepost kwenye ukurasa wake Istagram, kwa kumtakia R.I.P Captain John Komba amejikuta akifunguka kuwa yeye ni mwanachama wa CCM.
 
Maskini hadi huruma ye na CCM vitu viwili tofauti mwe!!
 
Hayaa sasa ata hongwa mkoa soon

Mkuu kupewa mkoa kuna vigezo vyake Wema ameshakuwa used.ametumika sana amekuwa na michirizi mingi na wazee wa Escrow hawapendi scraper ametumika sana hamna kitu mule
 
Wazee wa escrow wanataka mautamu tuu wakipewa vizuri adi nchi wanaachiaaa bado kidogo utasikia na mimi nahongwa nchi.....hahahaaaaa
 
Ulitegemea asiwe mwana ccm kwani yeye hataki U-DC au viti maalum??
 
Namuoona yuleee anakuwa mwenyekiti wa ulinzi na usalama wilaya fulani
 
Wazee wa escrow wanataka mautamu tuu wakipewa vizuri adi nchi wanaachiaaa bado kidogo utasikia na mimi nahongwa nchi.....hahahaaaaa

Nakuombea ufanikiwe ila jitahidi ujisogeze karibu ya mtoto wa Mfalme na ukiipata nafasi jitume kuna nafasi tena za ukuu wa wilaya mwezi wa saba.ila usiwe na michilizi km ya Wema halafu usiwe umetumika sana si unajua wale magari yao ya KUSUKUMA .ukiwa na vigezo unapewa nyumba na kiwilaya uongoze
 
Ukabidhiwe nchi? Sawa...we fungua tu hiyo miguu watu wakupige shafti afu uishie kufunguliwa kiduka cha stationary na photocopy machine 1.
 
Yaan mimi nina vigezo vyotee, sina michirizi cjajikoboaa....na pia cjawahi kutumikaa ata kidogo kwa hiyo nchi inanihusu nitapewa uwaziri mkuu
 
Ukabidhiwe nchi? Sawa...we fungua tu hiyo miguu watu wakupige shafti afu uishie kufunguliwa kiduka cha stationary na photocopy machine 1.

Acha kunikatisha tamaaa bhanaa.......niombee tuu nikipewa nchi na wewe nitakufanyia mpango
 
Mkuu kupewa mkoa kuna vigezo vyake Wema ameshakuwa used.ametumika sana amekuwa na michirizi mingi na wazee wa Escrow hawapendi scraper ametumika sana hamna kitu mule

Mkuu umesema kweli,machine haina vitu vya ndani amebaki kasha tuu.
 
Back
Top Bottom