Wema Sepetu amepatwa na nini?

Wema Sepetu amepatwa na nini?

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
1597832359682.png
 
Nafikiri hakujua matokea ya hiyo oparation. Hata mimi sikuwaza atafikia huko. Naamini anajutia sana uamuzi wake na mapitio yake. Hawa mastar wa kibongo wengi wangepewa nafasi ya kujisahihisha usingeweza kuamini ndio wake. Kuwa star bongo ni zaidi ya utumwa. Mbaya zaidi wote waliokuwa wanamsema vibaya kwamba amekuwa bonge siku hata hawamuweki tena kwenye page ya mbele kwenye gazeti lao la udaku. Hata waliompa ushauri hawamuoni tena,maana amechuja ghafla,hata ukikutana nae unaweza usiamini kama ni yeye. Ni huruma sana. Naamini anahitaji msaada wa haraka,vinginevyo tutampoteza. Hivi kule wenzie walikuweko juzi kati kwenye kijani,vipi aliibuka huko?
 
Ashaeleza her version of the story, kuwa aliambiwa apungue ndipo ataweza shika ujauzito unene ule kidogo umsababishie kansa ya kizazi.
Huyo ni muongo wa mwisho,, aliamua kukata utumbo ili apunguwe unene,,abalance figure yake,,
Kama ni case ya unene na kuwa mgumbao,, kuna wanawake wangapi wanene Mara 40 ya wema sepetu na kila siku tunawazalisha mapacha,,
Yeye amebugi kukata utumbo,,
Case closed..
 
Back
Top Bottom