Ngoma inahusika hapo,
Sio kwa kuchakatwa kule.
Kuanzia kwa celebrities wa fleva mpaka kwenye muvi.
kanumba,mond,Idris,Clement, kusah, na takataka nyingine za kitaa zimepita hapo.
Hapo hujaweka waheshimiwa wa mjengoni kule HQ.
Waheshimiwa watatu wale wa bandali walotifuana ofsini baada ya kugundua wote wachakata Dem mmoja.
Bado wale waarabu wa K'koo walombadili mpaka Dini.
Aisee, KWA peak alokua amefikia,
Sitak kuamin wote walkumbuka kutumia ndom
Wala kuamin wote walomchakata kavu kavu walikuasalama.
KWA mwili ule, Asitafute kisingizio.
Pale 90% umeme unahusika, Hata ARV nazo huwa Zinachoka.
Sent using
Jamii Forums mobile app