Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Leo wakati nafutafuta mafile kwenye PC nikakutana na ule wimbo wa WANJERA wa Omari Dimpoz, nikasema acha niplay kidogo nikumbukie enzi za utamu wa Madam Wema na lile zigo lake![emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fidodido wa 7 UP?
Naomi cambel wa TegetaTanzania sweetheart
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anafanya mazoezi ya kutengeneza manati
hahahahahahaahahahaKwa huo wembamba akisimama kwenye mvua inaweza kumkosa
hahahahahhahahahNaomi cambel wa Tegeta
Check hicho kitu cha juu. Kilikuwa kitu kitu kweli kweli cha kuvurugia watu mjini. Check “itangaa”Evolution of sepengaView attachment 1542559View attachment 1542560
[emoji23][emoji23]dah!tatizo ananenepa kichwa labda wakamkate medula oblangata.
😂😂😂😂😂😂Kwani ni nan huyu... 😳