Wema Sepetu amepatwa na nini?

Wema Sepetu amepatwa na nini?

Unbelievable!!!!

Nilikuwa naupenda mwili wake wa zamani!!!
 
With the internet comes a lot of information, but you can decide whether you will hear it from the source or from a third-party.
Jaribu sikiliza interview alifanyiwa nadhani last week na wakina gea alieleza kila kitu.
Siku zote jambo la kweli halihitaji editing,,
Wakati wema sepetu anandaa mipango ya kwenda India kufanya hayo watu walimsihi sn,
Kupitia kwenye acc mbali mbali za Instagram,,, yeye akaweka pamba masikio akaendeleza dhumuni lake hilo la kukata utumbo,,
Na wakati huo hakukuzungumziwa mambo ya uzazi wala ugumba,,bali walizungumzia kupungua mwili na kurudi kwny figer yake ya zamani kabla ya kunenepa,,,
Sasa ameona dunia imemuinamia anaanza kusema sababu ya kutaka kuzaa,,,
BIG NO..
 
Hapo ndio mimi sielewi. Kama amekata tumbo kwa nini na lile tako na hips vimeisha kabisa?
Ni masikitiko makubwa kabisa kwa watu wa chaputa,,
Hisia hakuna tena mkuu,,
Halafu wema huyu ukisema umpakie vumbi umeua ,,tena kesi mchana kweupe!!!
 
Sasa amekuwa wema Tanzania shit heart ,,
Kweli dunia inakwenda kwa kasi sana
 
Siku zote jambo la kweli halihitaji editing,,
Wakati wema sepetu anandaa mipango ya kwenda India kufanya hayo watu walimsihi sn,
Kupitia kwenye acc mbali mbali za Instagram,,, yeye akaweka pamba masikio akaendeleza dhumuni lake hilo la kukata utumbo,,
Na wakati huo hakukuzungumziwa mambo ya uzazi wala ugumba,,bali walizungumzia kupungua mwili na kurudi kwny figer yake ya zamani kabla ya kunenepa,,,
Sasa ameona dunia imemuinamia anaanza kusema sababu ya kutaka kuzaa,,,
BIG NO..
Mkuu mimi sitaki msemea, yeye kama yeye sijawahi kusikia anasema au anakiri kuwa alikata utumbo, zaidi ya hizi stori kuanzia kwa Mange. Hivyo sijui kama kweli au lah, yeye ndiye anajua nami nimechagua kuamini alichosema yeye kuwa hajakata utumbo ila alienda china kuhusu mambo ya uzazi ndipo akagundulika kuwa alikuwa kwenye uelekeo wa kupata cancer apunguze ubonge, na akapewa dawa na njia za kupungua kwanza kama safari yake ya kuelekea kupata uzazi.
 
Sawa mkuu,,lakini hayo yalielezwa kabla ya safari yake hyo,,kwamba atapunguwa sn ,,,anapaswa asitishe jambo hilo,,
Hivi mkuu wema alikuwa na unene gani?
Kufikia kwenda kujipunguza?angefata ushauri wa watu wala asingekwenda huko,,tena na mifano alipewa ,,wanawake wenzie ambao walifanya hivyo kabla yake lakini hakusikia,,
Yeye anasema alifanya sababu ya kuzaa,,mbona hatumuoni na tumbo?
 
Duuh namuonea huruma yani[emoji46][emoji46][emoji46][emoji22][emoji22][emoji22] Ustar mzigo sanaa...!! Kama ni jitihada za kutafuta mtoto bhasi Mungu amsaidie huyu dada ameshapigika vya kutosha hakuna kitu hajafanyaa chini ya hili jua kumpata huyo mtoto kawa kama kitoto cha form 2 duuh aliemshauri kukata utumbo Mungu anamuonaa
 
Kwa huo wembamba akisimama kwenye mvua inaweza kumkosa
Mamaeee aaiseeee jamaa una dhambii sanaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani kakondaaa hapo hata nyampuu mifupa tupu
 
Back
Top Bottom