Wema Sepetu amepatwa na nini?

Wema Sepetu amepatwa na nini?

Leo wakati nafutafuta mafile kwenye PC nikakutana na ule wimbo wa WANJERA wa Omari Dimpoz, nikasema acha niplay kidogo nikumbukie enzi za utamu wa Madam Wema na lile zigo lake![emoji16]
 
Usijali wanasema nini Wema,

Unene sio jambo zuri kiafya...sio kupata mimba tu,kuna hypertension,diabetes risk and cancer risk

Tena andelea kupungua mpaka uwe kama betina...

Kuna tunaotamani tupungue hatuwezi...

Kitu nilicho note though, Katika wardrobe yako mavazi yabadilike, sasa hivi umepungua uzito then mavazi tafuta ya size hii mpya,sio umebadilika size unatafuta hanging clothes tafuta zinazoonyesha mwili wako mdogo...all the best.
 
Evolution of sepenga
wema%20pic.jpg
Wema_Sepetu_before_and_after_her_weight_loss-min.jpg
 
Mbali na kukonda, amezeeka na kuchoka vibaya. Zama zake za ulimbwende zilishakwisha. Awe mpole sasa.
 
Wema amekuwa kama toy, amefanana na mwanaume wa makamo aliyechakazwa kwa kunywa gongo na uvutaji wa sigara kwa muda mrefu.
 
Si ajabu akawa kuna saa anajichukia ila ndio hana namna. Lol
 
Back
Top Bottom