Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wema sepetu na mama yake wote ni mabongo movie, sema tu mama yake ni UNDERGROUND, ndio anatafuta namna ya kutoka
Eti kisa, Mama wema alimuomba wema pesa muda mrefu tu na ana matatizo mengi, Wema hakumpa pesa anamjibu asubiri tu mambo yake yakiwa mazuri atampatia pesa. Mama wema Kapata hasira baada ya kuona mwanae kaenda kumlipia kajala millioni 13 wakati yeye anashida kibao na kila siku wema anamkwepa tu na kumpa ahadi za uongo.
Umenena kweli,kuna watu kibao unakuta wanawatoa sana washkaji,wanahonga sana mademu wakati kwao wanakufa njaa hata nyumba ya kulala ni ishu...lakini kutafuta umaarufu mjini ndo wenyewe. Laana hizo
Charity begins at home.
nasikia alishawahi kuwa balozi wa Tanzania ng'ambo. nafikiri kwa sasa anishi Zenji pengine waliitengana na mama Wema.Hivi mume wa huyu mama (baba yake Wema) ni nani? Yupo hai? Mbona anaaibishwa namna hii?
Toka zamani hawaivi![]()
NI kivumbi! Kuna madai kwamba, staa wa Bongo asiyechuja, Wema Sepetu amemfikisha mama yake, Miriam Sepetu kwenye Kituo cha Polisi Kijitonyama Mabatini, Dar kwa madai ya kwenda nyumbani kwake na kufanya vurugu zilizosababisha kuharibika kwa samani mbalimbaliKwa mujibu wa chanzo chetu, ishu hiyo ilijiri usiku wa kuamkia Jumatano iliyopita, nyumbani kwa Wema, Kijitonyama, jijini Dar.Mbali na mama mtu, wengine waliofikishwa kituoni hapo ni dada mkubwa wa Wema aitwaye Nuru na kijana aliyefahamika kwa jina moja la Bestizo ambaye inasemekana ni mshirika mkubwa wa Diamond kwenye masuala ya mtandao wa msanii huyo.Wema alikuwa nyumbani kwake usiku huo, watuhumiwa hao wakamzukia na kuanza kumchapa makofi ya kelbu ambapo katika mshikemshike huo, baadhi ya vitu vilivunjika na kumtia hasara staa huyo, kilisema chanzo.Haikujulikana mara moja ni kitu gani kilisababisha mama mzazi huyo, dada mtu na kijana asiyekuwa ndugu kwenda kwa Wema na kutenda kosa hilo.Wema alikwenda polisi na kuandikisha maelezo ambayo yameingizwa kwenye jalada lenye kumbukumbu; KJN/RB/2755/2013 SHAMBULIO, KUHARIBU MALI. (1689)
KabisaaToka zamani hawaivi
Kumbe malumbano yameanza long time. Miaka 10 nyuma![]()

Kumbe malumbano yameanza long time. Miaka 10 nyuma