ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
hahahaaa shostito kwani ulitakaje wajaeUzi unama -legend 🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaa shostito kwani ulitakaje wajaeUzi unama -legend 🙌
No nimefurahi kuona ma legend kwakweli 😅hahahaaa shostito kwani ulitakaje wajae
tumerudi ila naona jamvi limejaaa makaratasi tu hakuna maziwa fresh hahaaaaNo nimefurahi kuona ma legend kwakweli 😅
Hapo kwenye 'asiyechuja' ni chumvi imeongezwa mkuu.![]()
NI kivumbi! Kuna madai kwamba, staa wa Bongo asiyechuja, Wema Sepetu amemfikisha mama yake, Miriam Sepetu kwenye Kituo cha Polisi Kijitonyama Mabatini, Dar kwa madai ya kwenda nyumbani kwake na kufanya vurugu zilizosababisha kuharibika kwa samani mbalimbaliKwa mujibu wa chanzo chetu, ishu hiyo ilijiri usiku wa kuamkia Jumatano iliyopita, nyumbani kwa Wema, Kijitonyama, jijini Dar.Mbali na mama mtu, wengine waliofikishwa kituoni hapo ni dada mkubwa wa Wema aitwaye Nuru na kijana aliyefahamika kwa jina moja la Bestizo ambaye inasemekana ni mshirika mkubwa wa Diamond kwenye masuala ya mtandao wa msanii huyo.Wema alikuwa nyumbani kwake usiku huo, watuhumiwa hao wakamzukia na kuanza kumchapa makofi ya kelbu ambapo katika mshikemshike huo, baadhi ya vitu vilivunjika na kumtia hasara staa huyo, kilisema chanzo.Haikujulikana mara moja ni kitu gani kilisababisha mama mzazi huyo, dada mtu na kijana asiyekuwa ndugu kwenda kwa Wema na kutenda kosa hilo.Wema alikwenda polisi na kuandikisha maelezo ambayo yameingizwa kwenye jalada lenye kumbukumbu; KJN/RB/2755/2013 SHAMBULIO, KUHARIBU MALI. (1689)
Umeona shehe!!Hapo kwenye 'asiyechuja' ni chumvi imeongezwa mkuu.