Wema Sepetu amfikisha polisi mama yake baada ya kumfanyia vurugu nyumbani

Mother daughter envy .Lindsey lohan and her mom ( she does drug with her and she party's with her ,she wants to be Lindsey .Kim kardashian mother ( takes 40 percent of her kids salaries).When a mothers pride turns to be envy .
 
Eti kisa, Mama wema alimuomba wema pesa muda mrefu tu na ana matatizo mengi, Wema hakumpa pesa anamjibu asubiri tu mambo yake yakiwa mazuri atampatia pesa. Mama wema Kapata hasira baada ya kuona mwanae kaenda kumlipia kajala millioni 13 wakati yeye anashida kibao na kila siku wema anamkwepa tu na kumpa ahadi za uongo.
 

Charity begins at home.
 
Hivi mume wa huyu mama (baba yake Wema) ni nani? Yupo hai? Mbona anaaibishwa namna hii?
 
tx true charity begins at home bt kwa hili hastahili ata msamaha wa mama ake cjui n ustaa umemzd she z out f her mind n 1 day she will regret about this
 
chunga sana fomyula hii: MTOTO = MZAZI x JAMII.
Wazazi wanahusika kwa vituko vya kijana huyo aitwaye sijui Wema sijui.
 
Msituchanganye. Wekeni details. Inawezekana ni habari ya kutunga tu. Unajua sio kila kitu tuna comment. Vingine vinahusu heshima ya mtu, na wengine wanaonewa wivu tu.
 
Hivi mume wa huyu mama (baba yake Wema) ni nani? Yupo hai? Mbona anaaibishwa namna hii?
nasikia alishawahi kuwa balozi wa Tanzania ng'ambo. nafikiri kwa sasa anishi Zenji pengine waliitengana na mama Wema.
 
Toka zamani hawaivi
 
Kumbe malumbano yameanza long time. Miaka 10 nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…