Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Star wa bongo movie Wema Sepetu amezitaja sifa za mwanaume wakufunga nae pingu za maisha siku za usoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aseme mwanaume wa uzeeni mwake, hizo ndio ndo sahihi zilizobaki wasituchosheStar wa bongo movie Wema Sepetu amezitaja sifa za mwanaume wakufunga nae pingu za maisha siku za usoni.
View attachment 2214796
Imefika mwisho labda afanye overhaulVp odometer yake inasomaje?
Maana ameanza kitambo kuendesha gari lake la katikati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... kila siku mwanaume wa ndoto zake huku akizidi kukongoroka! Mshaurini siku hazigandi.
Star wa bongo movie Wema Sepetu amezitaja sifa za mwanaume wakufunga nae pingu za maisha siku za usoni.
View attachment 2214796
Halafu analazimisha maisha yale ya miaka 10 iliyopita! Maskini hataki kukubali kuwa sasa halipi tena!!Mimi sasa hivi Wema akinitongoza ama hata kunikonyeza tu kimahaba namfungulia kesi polisi ya kujidhalilisha.
Ama kweli wanawake ni wa muda. Wema aliekua chombo kikali leo amekua sawa na kuku wa broiler, aisee.