Wema Sepetu amuweka wazi mwanaume wa ndoto zake

Wema Sepetu amuweka wazi mwanaume wa ndoto zake

Mimi sasa hivi Wema akinitongoza ama hata kunikonyeza tu kimahaba namfungulia kesi polisi ya kujidhalilisha.

Ama kweli wanawake ni wa muda. Wema aliekua chombo kikali leo amekua sawa na kuku wa broiler, aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom