Wema Sepetu amuweka wazi mwanaume wa ndoto zake

Vp odometer yake inasomaje?

Maana ameanza kitambo kuendesha gari lake la katikati
 
... kila siku mwanaume wa ndoto zake huku akizidi kukongoroka! Mshaurini siku hazigandi.
 
Mimi sasa hivi Wema akinitongoza ama hata kunikonyeza tu kimahaba namfungulia kesi polisi ya kujidhalilisha.

Ama kweli wanawake ni wa muda. Wema aliekua chombo kikali leo amekua sawa na kuku wa broiler, aisee.
 
Last born wa Taifa hapoi wala haboi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ni ndio kusema hawezi kunenepa tena!? Maana nahisi anatamani kurudi kama zamani sasa nini tatzo!!?
 
Mimi sasa hivi Wema akinitongoza ama hata kunikonyeza tu kimahaba namfungulia kesi polisi ya kujidhalilisha.

Ama kweli wanawake ni wa muda. Wema aliekua chombo kikali leo amekua sawa na kuku wa broiler, aisee.
Halafu analazimisha maisha yale ya miaka 10 iliyopita! Maskini hataki kukubali kuwa sasa halipi tena!!
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…