Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 6,974 Reaction score 8,750 Jul 17, 2022 #21 Mawawa said: Star wa bongo movie Wema Sepetu amezitaja sifa za mwanaume wakufunga nae pingu za maisha siku za usoni. View attachment 2214796 Click to expand... Niice. Huyu ndo Mr. Jumbe?
Mawawa said: Star wa bongo movie Wema Sepetu amezitaja sifa za mwanaume wakufunga nae pingu za maisha siku za usoni. View attachment 2214796 Click to expand... Niice. Huyu ndo Mr. Jumbe?
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 Jul 17, 2022 #22 Bado anaota?! Mwanamke wa miaka 35 unaongelea mwanaume wa ndoto?!
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 Jul 17, 2022 #23 The Assassin said: Mimi sasa hivi Wema akinitongoza ama hata kunikonyeza tu kimahaba namfungulia kesi polisi ya kujidhalilisha. Ama kweli wanawake ni wa muda. Wema aliekua chombo kikali leo amekua sawa na kuku wa broiler, aisee. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Assassin said: Mimi sasa hivi Wema akinitongoza ama hata kunikonyeza tu kimahaba namfungulia kesi polisi ya kujidhalilisha. Ama kweli wanawake ni wa muda. Wema aliekua chombo kikali leo amekua sawa na kuku wa broiler, aisee. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]