Heheee alivunja kioo cha gari la Kanumba nadhani...Kuna wakati Wema sijui alifanya timbwili gani tu hadi kulazwa rumande au sijui gerezani...
Alipotoka nywele zilikuwa timtim kama kichaa vile. Yaani huyu dada bana....
Heheee alivunja kioo cha gari la Kanumba nadhani...
Heheheeee si uliona ile kwapa ya muke ya muzungu? Ile inaonekana wembe haikupita kwa siku kadhaa pale....au we wasemaje?
NN unanimaliza hapa.....yani baada ya ww kusema ilibidi nirudi kwenye picha nikaingalie vizuri ndio nikagundua kuna vitu vinachungulia! Aibuuu sana kwa muke ya muzungu duuuh
Ooh yeah..sasa nimekumbuka. Keshalala rumande sijui mara ngapi tu....utadhani kibaka bana!
Kwani anatukomoa sisi? Eish!
Watu wanajijua wako kwenye sport light 24/7 halafu wapo kihasa hasara tu...NN unanimaliza hapa.....yani baada ya ww kusema ilibidi nirudi kwenye picha nikaingalie vizuri ndio nikagundua kuna vitu vinachungulia! Aibuuu sana kwa muke ya muzungu duuuh
La huyo anaejidai mama wema mdogo lol...jaman!hlihli la wema au?
Mtoto una maneno wewe!
Huyu kama hajatumwa basi akili zake na za wema ni mapacha,!SL muelezeee huyu naona haelewiii.....katumwa nini
Watu wanajijua wako kwenye sport light 24/7 halafu wapo kihasa hasara tu...
Hahaha! Labda kweli Bajabiri... Ila atakuwa keshachelewa bana, mtoto wa kike shurti utulie alaaaa!Akishakuwa kama bi Kidude ata2lia wadau
Hukuona mdada kavaa gauni la kitenge na raba?Wewe mbona sijaona picha zako za kwenye redi kapeti?
Wewe mbona sijaona picha zako za kwenye redi kapeti?
Hukuona mdada kavaa gauni la kitenge na raba?
Hukuona mdada kavaa gauni la kitenge na raba?
Hahahaha! Hajamfikia muke ya muzungu ndio mana alijificha ficha mpaka hujamuona!Aaaaaaah wacha bana! Gauni la kitenge na raba mtoni? Mi nilidhani alinyuka kigauni kama muke ya muzungu