bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Aah wapi anafikiri mi ni kama yeye anapiga dera na sendeu chiniAaaaaaah wacha bana! Gauni la kitenge na raba mtoni? Mi nilidhani alinyuka kigauni kama muke ya muzungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah wapi anafikiri mi ni kama yeye anapiga dera na sendeu chiniAaaaaaah wacha bana! Gauni la kitenge na raba mtoni? Mi nilidhani alinyuka kigauni kama muke ya muzungu
Hahahaha!...ni muarusha kabisa wala hujakosea, manake nakumbuka kile kipindi Mussa alikuja kurekodi arusha lol.Hahahaaa swahiba umenikumbusha chick mmoja hivi clip ya kipindi cha uswazi...lol
'minisati ya Jei feroo'....loool yule lazima ni muarusha
Hahahaha! Hajamfikia muke ya muzungu ndio mana alijificha ficha mpaka hujamuona!
Hehehee sijamfikia wapi urefu wa vinyweleo sio? Kama hivo sawa...lolHahahaha! Hajamfikia muke ya muzungu ndio mana alijificha ficha mpaka hujamuona!
Labda yeye hana tatizo bana na kichaka chake, maana hainingii akilini mtu hata saa ya kupaka deo hakujiona? Jumlisha na nguo alokuwa kavaa hakugundua tu kuna mahali hapako sawa?Ila muke ya muzungu alichemsha mbaya sana. Ingekuwa labda alibabatizwa tu na paparazi akiwa gengeni hapo ningeelewa. Lakini si kwenye shoo kama ile halafu kwenye redi kapeti. Asirudie tena.
Yaani muke ya muzungu imetia aibu NN, inajishaua na makwapa yana msitu lol.. Sijui kwanini muzungu hajamshauri kuziondoa!...Ila muke ya muzungu alichemsha mbaya sana. Ingekuwa labda alibabatizwa tu na paparazi akiwa gengeni hapo ningeelewa. Lakini si kwenye shoo kama ile halafu kwenye redi kapeti. Asirudie tena.
Labda yeye hana tatizo bana na kichaka chake, maana hainingii akilini mtu hata saa ya kupaka deo hakujiona? Jumlisha na nguo alokuwa kavaa hakugundua tu kuna mahali hapako sawa?
Na pozi la picha tena ndo akaachilia kabisa mfaudu...lol
Hujamfikia upande wa makwapani, ungekuwa na msitu kama wake lazima ungejishaua kwenye kamera lol.Hehehee sijamfikia wapi urefu wa vinyweleo sio? Kama hivo sawa...lol
Usikute yana raha yake bana...lolLabda muzungu anapenda iwe hivyo....
Kumbe jee muone mambo ya miradi ya kilimo kwanza...Hujamfikia upande wa makwapani, ungekuwa na msitu kama wake lazima ungejishaua kwenye kamera lol.
Hahahahahaha! Huna adabu kabisa kunifanya nicheke kama mwendawazimu lol.Kumbe jee muone mambo ya miradi ya kilimo kwanza...
Lol...bht usikute kichaka kina siri sie hatujaigundua jamani, manake mie mbona hainiingii akilini tena haswa nikiona mdada ana kichaka!Usikute yana raha yake bana...lol
Ngabu nimekumbuka Julia Roberts naye aliwahi kunaawa na kichaka kwapani tena chake kilikuwa balaa...
Heheehe nimekoma mwaya...ila nampango wa kuyastawisha na mimi ngoja nimuulize baba mtoto ...lolHahahahahaha! Huna adabu kabisa kunifanya nicheke kama mwendawazimu lol.
Hehehe! Kwani baba mtoto yako ni muzungu weye?...Heheehe nimekoma mwaya...ila nampango wa kuyastawisha na mimi ngoja nimuulize baba mtoto ...lol