Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,227
alikuwaje mkuu madam wako???hahahaWenu na nani mkuu! Be specific... i was there when the photo was taken! Ilikuwa uzinduzi wa Global TV online, hakuwa hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alikuwaje mkuu madam wako???hahahaWenu na nani mkuu! Be specific... i was there when the photo was taken! Ilikuwa uzinduzi wa Global TV online, hakuwa hivyo
Ha ha ha matako yanguekua dili masogange angekua bilionea pamoja na mzigo alionao ila hata chumba hanaWalaaniwe watu wote waliompotosha wakampa hayo madude halafu wao wenyewe wako vizuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nikaushie basi, nawasubiri wenzangu akina Atoto tuandamane.Ha ha ha kumbe nawe team wema, fanyeni maandamano asee hadi kwa maimatha, mwambie a bring back your wema
Hahahhaha u made my nightHii shape inabidi iitwe LUGUMI
Mtake radhi bata, anashepu nzuri yenye mpangiliooooo gosh hili shepu la BATA hili kalitaka mwenyewe
Takukuru wamhoji atoe source yake. Kuna watu wanafanya biashara hii haramu na wanalindwa. Na Haya madhara ndiyo yanayoonekana kwa macho.Walaaniwe watu wote waliompotosha wakampa hayo madude halafu wao wenyewe wako vizuri.
Hiyo shape yaitwa CHATU KAMEZA MBUZITeh teh..Shape za kununua balaa aisee..Hii figure sijui inaitwaje