Wema Sepetu anakoelekea siko

Wema Sepetu anakoelekea siko

Maskini Wema wangu, sijui kama atapata furaha ya maisha kama kwenye kipindi hiki akiwa na DIAMOND alipendwa na familia nzima. Eeh M/mungu mtoe kwenye kipindi hiki kigumu anachokipitia.
images
 
Walaaniwe watu wote waliompotosha wakampa hayo madude halafu wao wenyewe wako vizuri.
 
Doo mahips yapo magotini.kweli hips dont lie
 
Walaaniwe watu wote waliompotosha wakampa hayo madude halafu wao wenyewe wako vizuri.
Takukuru wamhoji atoe source yake. Kuna watu wanafanya biashara hii haramu na wanalindwa. Na Haya madhara ndiyo yanayoonekana kwa macho.
 
Back
Top Bottom