Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
[h=1]WOLPER ANYANGANYWA GARI[/h]
Mwigizaji five star kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyanganywa mkoko (gari) wa kifahari aliokuwa akitanua nao katika mitaa ya mbalimbali ya jiji la Bongo.
Habari zenye ukweli 100% ambazo Teentz.com imezinyaka zinasomeka kuwa Wolper anayejulikana kama Amber Rose wa Bongo amenyanganywa mkoko huo aina ya BMW X6 wenye thamani ya ngawira za kibongo ML 170, sambamba na kupigwa stop kukaribiana na mshefa aliyekuwa amemnunulia ndinga hiyo.
Kwa mujibu wa chanzo, hatua ya mshefa huyo kuamua kuchukua ndinga yake ni baada ya kugundua kuwa Wolper anatoka kimapenzi na sharobaro mmoja anayemiliki duka maarufu la viwalo pande za Kinondoni.
Aidha chanzo hicho, kimeieleza Teentz.com kuwa hivi sasa mwanadada huyo ameamua kutembelea ndinga aina ya Noah aliyokuwa anaitumia hapo awali sambamba na kutoka kwa kuvizia kukwepa watu wake wa karibu washitukie mchongo.
Katika kuhakikisha kuwa ukweli unajulikana Teentz.com iliamua kumsaka na baada ya kupatikana Wolper aligeuka mbongo na kudai kuwa hakuna jambo kama hilo isipokuwa kilichotokea ni kuwa gari limepata matatizo na ameamua kulipeleka garage.
Alipotakiwa kueleza kuwa imekuwaje gari mpya kama ile aipeleke garage tene kwa siku tatu Wolper alisme hivi: Bwana eeh wee jua liko garage hayo maswali mengine mimi sitaki kuayasikia na kama una taka ugomvi endelea kuniuliza alisema na
ndo nani huyo?