Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
hawa bongo movies wananatia aibu sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona wale wanawake wanatoboa matundu kibao masikioni na kuyashehezeza kwa ma gold na mikufu kibao na mapete kibao!. Ujue kisaikolojia huyu ni masikini wa roho na ananyanyasika na umasikini wake ili kijithaminisha mbele ya jamii, ndio anavaa hayo magold ili kujionyesha thats how one is worth!.
Niliangalia ile program, ni kweli kumiliki nyumba na vitu vizuri ni jambo jema, ila wote wenye jicho la pychoanalysis waligudua she is wounded psychological hivyo anafanya show off ili kujifariji!.
Sanaa ya uigizaji bongo tunaijua, top super star alikuwa Kanumba!, anachofanya dada yetu ni kuutangazia umma kuwa the topstar mwenye mafanikio makubwa zaidi kuliko wote ni yeye and she is worth 500 milions overnight!.
Kwa vile aliwahi kutukanwa kuwa hana kwake kila siku ni kuhamia kwa hivyo vijivulana vyake anavyovibadilisha kama nguo!, sasa ametulia ana kwake na kwa kule kwa mama yake amenunua new bedroom furniture na kitanda kimpya ambapo kesho mama yake atakionyesha na kueleza ndicho alichokuwa analalia tangu akiwa mdogo!.
Mimi binafsi japo sio mpenzi wa bongo movies, namkubali hiyu binti she used to be genuine, humble and down to earth kabla masifa hayampasua sasa she is overdoing things!.
Anahitaji msaada wa ushauri wa kisaikolojia!.
Kuna mmoja anaitwa Zamaradi yeye alimpata mtoto wa Billionaire Jakaya Kikwete, akaishia kuzalishwa tu kitoto basi na yeye amekalia umbeya tu ndio anayewapoteza hawa kina Wema Sepetu. Ujinga mtupu Fanculo.Hawa kina Wema wangekuwa na nidhamu, sanaa iwasaidie kupata wanaume wenye pesa na walotulia waje wawalee. Ila kwa tabia zao hizi sidhani kama watoto wa ma billionnaire wanaweza kuingia King zaidi ya kuwachezea.
Du! hii kali!Kuna mmoja anaitwa Zamaradi yeye alimpata mtoto wa Billionaire Jakaya Kikwete, akaishia kuzalishwa tu kitoto basi na yeye amekalia umbeya tu ndio anayewapoteza hawa kina Wema Sepetu. Ujinga mtupu Fanculo.
Saga chupa ubwie!!...
Tena nyumbani kwangu kwenye king'amuzi changu hiyo Clouds tv ndio nimeiblock kabisaaa iko scrambled. sisikilizi Clouds mimi. OverNitakuwa mpumbav, nikifanya hvy kwa ajili ya unafiki wako wako wa kuikataa Clouds hp JF af moyoni unaikubali....