Wema Sepetu anamdanganya nani!? Huu siyo Ulimbukeni?

Sanaa si Tz tu hata wanaigeria wenyewe waloanza tangu zama hizo hawana pesa kihiivyoo. Wengi ni wenzangu na mie wanawake wengine wanajiuza tu. Ni wa kawaida sana. Kuna mdada actress nikuwa namzimikia wa kinigeria alikuwa na rasta hivi mdogo mdogo. Ameolewa mwaka jana na harusi yake ilikuwa ni ya kufunika kwa mwaka huo. Mume alomuoa ni mtoto wa billionaire mmoja Chief. Baba mkwe nasikia alimpa sharti kuwa kama anataka kuolewa na mtoto wake acting iwe mwisho.

Sasa watu wamekuwa wana comment kuwa sio fair; lakini wengi wamefurahi wakisema kama mtu ana act apate pesa; pesa yenyewe kiasi ya mboga; kwa nini aendelee ku act wakati anaweza pata chochote anachotaka???

Hawa kina Wema wangekuwa na nidhamu, sanaa iwasaidie kupata wanaume wenye pesa na walotulia waje wawalee. Ila kwa tabia zao hizi sidhani kama watoto wa ma billionnaire wanaweza kuingia King zaidi ya kuwachezea.

Kuna mmoja anaitwa Zamaradi yeye alimpata mtoto wa Billionaire Jakaya Kikwete, akaishia kuzalishwa tu kitoto basi na yeye amekalia umbeya tu ndio anayewapoteza hawa kina Wema Sepetu. Ujinga mtupu Fanculo.
 
Wasanii wa movie za kibongo Ni Machangu ambao wapo kifedha Zaidi.. Huyo mmoja Kabadilisha Hadi Dini Kisa Fedha. Shame on her.
 
Kuna mmoja anaitwa Zamaradi yeye alimpata mtoto wa Billionaire Jakaya Kikwete, akaishia kuzalishwa tu kitoto basi na yeye amekalia umbeya tu ndio anayewapoteza hawa kina Wema Sepetu. Ujinga mtupu Fanculo.
Du! hii kali!
 
Jackline Wolper amezidi kujichoresha, kaenda kutoa makadi ya gari feki eti BMW X6 Year of manufacture ni 1999, does it make sense kweli? angalia hapo chini.

Nitakuwa mpumbav, nikifanya hvy kwa ajili ya unafiki wako wako wa kuikataa Clouds hp JF af moyoni unaikubali....
Tena nyumbani kwangu kwenye king'amuzi changu hiyo Clouds tv ndio nimeiblock kabisaaa iko scrambled. sisikilizi Clouds mimi. Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…