Wema Sepetu anamkubali sana king Zamunda

Wema Sepetu anamkubali sana king Zamunda

Nyie mdanganyen tu aendelee kuvimba kichwa huku jf na insta ila in reality anajua wapi kasimamishwa na mondi
 
Insta kimenuka ila hutuonyeshi comment hizo za insta sio ubwabwa wako tu
 
Mpenda burudani na nisiyependa kuadithiwa na wakuongea vitu kwa ushahidi nilikuwepo xcape 1 na ile ya Dar live, ki ukweli kabisa huyu jamaa anasifiwa wakati alingani na ukweli,shoo ilipooza mno,watazamaji hawakuwa na mzuka kabisa kutokana na mtoa burudani halimudu jukwaa,dancers wanatofautiana kiuchezaji kila mara, usije ukailinganisha na ya Dar live ule ulikuwa ni moto zaidi ya fire.Kwa yule aliyeenda sehemu zote 2 ataelewa ninazungumzia nini lakini pia watu wasichanganye ile shoo ya Dar Live DIAMOND alishachukua chake mapema kwa sababu waandaji ni Airtel na yeye alikuwa msanii mlengwa japo alikuwepo msaga sumu na wengine,ila ile ya xcape 1 ilikuwa na wasanii wengi wakubwa lakini kilichofanyika hakuna kitu ila ni ushabiki tu.
Maelezo yote ya nini haya mkuu wakati kwa domo tickets zilishushwa bei ili aonekane anakubalika na nyi ndo mnamfanya jamaa aishi maisha fake na sarakasi jukwaani kama Bruce lee hujaziona hizo ?? We baki na domo lako bwana shida yote ya nini hii
 
Show kama za yamoto band....

Kingilio 10,000.
Ya mond kingilio zaid ya 30,000

Nan zaid? Kama kiba angepandisha kingilio naona angenda wema na wpambe wake.

Diamond is diamond
Ile show ilikuwa ni kwa ajili kuwashukuru mashabiki ilikuwa ifanyike buree sema watu wangekuwa wengi hiyo 10000 na 15000 kiingilio ni baada ya clouds kuingilia kati na kuchukua 20% kupeleka kwa watoto yatima na wasiojiweza
Vp lakini mkuu swalama??
 
Acha porojo kuzidisha na kuongeza chumvi

Unaongelea nini kwani wanashindana pesa ya kuingilia hata hiyo kwa Mikocheni na Dar Livr kiingilio kule buku 15 hadi buku 30 na huku M buku 10 hadi 15.

Haya unajua show hizo mbili ya Escape one ilikuwa kawaida sana hata majirani waishio maeneo hayo hawakusikia kusisimuka miili.

Kila mtu anaimba kivyake kama kufuta vumbi la hasha hajalifuta na kamwe hatalifuta akae level hiyo hiyo watu wafurahie nae afurahi
Wema huyo juzi alikua anaombea watu waache kumsema Diamond na familia yake sasa akachuniwa hata baada ya kujipendekeza kwa Aunt E asogee karibu

Kwa hiyo kuna mengi kama unapita na udaku uliza.
Unatoa maelezo mengi ila hayaeleweki mada nyingi post moja acha chuki bwana
 
Kwani huyu Mpwilo anakula ugali kwa Ali Kiba?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] na wewe unakula ugali kwa domo?? Kila siku kiba mpaka amtie mimba dada yako siku moja
 
Unatoa maelezo mengi ila hayaeleweki mada nyingi post moja acha chuki bwana

Kalale mbele mie msoma udaku sizeeki kwa kucheka.

Utaelewaje wakati hautaki kuelewa....chuki kwani wamenikuna ngozi.

Simba anaunguruma hata Balozi wa elefanti anakimbia....eti insta leo vipi wengi shule iliwapita hata ya maporini naona. Hadi mtu kujipaisha kujiita wa wanyama wote kutafuta kiki teh teh teeeeee vipi tembo wameuwawa wote au kontiraki imeandikwa upya baada ya Simba kuunguruma.

Haujaelewa? Basi pita tu hapa
 
Kuwafanisha Ya Moto Band na Ali Kiba ni kuwavunjia heshima kina Dogo Aslay
Comments zako zinanifuraishaga sana[emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji23] [emoji12] [emoji13] [emoji23]
Mungu akupe maisha marefu
 
Back
Top Bottom