Wema Sepetu anamkubali sana king Zamunda

Nyie mdanganyen tu aendelee kuvimba kichwa huku jf na insta ila in reality anajua wapi kasimamishwa na mondi
 
Insta kimenuka ila hutuonyeshi comment hizo za insta sio ubwabwa wako tu
 
Maelezo yote ya nini haya mkuu wakati kwa domo tickets zilishushwa bei ili aonekane anakubalika na nyi ndo mnamfanya jamaa aishi maisha fake na sarakasi jukwaani kama Bruce lee hujaziona hizo ?? We baki na domo lako bwana shida yote ya nini hii
 
Show kama za yamoto band....

Kingilio 10,000.
Ya mond kingilio zaid ya 30,000

Nan zaid? Kama kiba angepandisha kingilio naona angenda wema na wpambe wake.

Diamond is diamond
Ile show ilikuwa ni kwa ajili kuwashukuru mashabiki ilikuwa ifanyike buree sema watu wangekuwa wengi hiyo 10000 na 15000 kiingilio ni baada ya clouds kuingilia kati na kuchukua 20% kupeleka kwa watoto yatima na wasiojiweza
Vp lakini mkuu swalama??
 
Unatoa maelezo mengi ila hayaeleweki mada nyingi post moja acha chuki bwana
 
Kwani huyu Mpwilo anakula ugali kwa Ali Kiba?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] na wewe unakula ugali kwa domo?? Kila siku kiba mpaka amtie mimba dada yako siku moja
 
Unatoa maelezo mengi ila hayaeleweki mada nyingi post moja acha chuki bwana

Kalale mbele mie msoma udaku sizeeki kwa kucheka.

Utaelewaje wakati hautaki kuelewa....chuki kwani wamenikuna ngozi.

Simba anaunguruma hata Balozi wa elefanti anakimbia....eti insta leo vipi wengi shule iliwapita hata ya maporini naona. Hadi mtu kujipaisha kujiita wa wanyama wote kutafuta kiki teh teh teeeeee vipi tembo wameuwawa wote au kontiraki imeandikwa upya baada ya Simba kuunguruma.

Haujaelewa? Basi pita tu hapa
 
Kuwafanisha Ya Moto Band na Ali Kiba ni kuwavunjia heshima kina Dogo Aslay
Comments zako zinanifuraishaga sana[emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji23] [emoji12] [emoji13] [emoji23]
Mungu akupe maisha marefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…