Wema Sepetu anaswa na kidume kipya

Wema Sepetu anaswa na kidume kipya

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

MALKIA wa Filamu za Bongo, Wema Sepetu amenaswa LIVE akiwa na mwanamme anayedaiwa kuwa ni bwana wake mpya. Wawili hao wamenaswa wakijiachia tena mchana kweupe peee huku Wema akijibebisha kwenye kifua cha jamaa huyo!


Anasikika Wema akitema madongo kumponda mpenzi wake wa zamani ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, kwamba alishamshauri aiboreshe perfume hiyo kama anataka iwe na viwango lakini mwenyewe akamwambia kwamba anataka aiuze kwa watu wa daraja la chini na kati.


Muungwana
 
Embu muacheni jamani anye kuku tu akinya bata kaharisha
 
Sasa hapo kakosea nini jomoni. Watz bwana. Ulitaka umlale wewe?
 
Waache watest mitambo Na kama kungekuwa kunatoka gaga , kwake kungekua na Gaga kama la ngozi ya mamba
 
Vingekuwa vinazeeka kulingana na matumizi basi cha huyu bibie kingekuwa kinapigiwa hesabu ya uchakavu
Alafu unaweza kukuta na hekaheka zote bado hajajaza daladala[emoji23] ila kuna vibibi gagula vipo humu idadi ya waliokula mzigo inazid ile mwenfokas ya mwanamke nyonga#nohardfeelings
 
Duu huyu demu papuchi yake naona haina likizo
 
mikuyenge ingekuwa fito hapo mama mtu mzima angekuwa na estates za kutosha huko tandale kwa tumbo maana amefanikiwa kukusanya nyingi sana!!
 
Back
Top Bottom