Wema Sepetu anaufunga mwaka vibaya, afukuzwa kwenye nyumba aliyodai kuinunua 280m

Wema Sepetu anaufunga mwaka vibaya, afukuzwa kwenye nyumba aliyodai kuinunua 280m

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Screenshot_2015-12-21-16-27-59.png
Screenshot_2015-12-21-16-29-09.png
Screenshot_2015-12-21-16-29-54.png
Screenshot_2015-12-21-16-31-08.png

Pole wema itabidi tu urudi nyumbani kwa mama,make nyumbani ni nyumbani
 
Eti mil 280 ,nyokoooooo mamamayo, rahis kuitamka eeh?? Kwa k gani uliyokua nayo hapa mjini? Rudi tu sinza uswahilin kwenu, maana ndo panakufaa
 
Diamond please msaidie wema akae ata stoo kwako jaman ataumbuka mjini maana hana pa kukaaa, kila mtu anamkimbia mjini alivyojaa nuksi maskini, hiz nyota za bundi tabu sana, zinawaka usiku tu mchana giza, atajibeba
 
Looh jamani, sasa lile range lake atapaki wap? Watu wanapenda umaarufu mjini halafu hawana pa kukaa mxieewe na bado

Kujifanya bossylady mxiee kumbe mwizi, kwanza wangeliweka ndani tu mbwa hilo

Eti mil 280 ,nyokoooooo mamamayo, rahis kuitamka eeh?? Kwa k gani uliyokua nayo hapa mjini? Rudi tu sinza uswahilin kwenu, maana ndo panakufaa

Mama ongea na mwanao umsaidie kafukuzwa, ongea na samia magufuli akusaidie pa kukaa mbwa wewe, kutwa kujishaua na kampeni za ccm, wamekupeleka wapi mxieeee

Ha ha ha naona umefurahi, mi nmemuonea huruma kwakweli....labda ahamie kwa boyfriend ake Idris sultan
 
Acha kumuita binadamu mwenzio mbwa,husifiwi na sio tabia nzuri! Unachomuumbia mwenzio Mungu atakuumbia wewe

Pole mama ubaya, vip umeshapata pa kukaa au? , hvi kwa nn unapenda kujimilikisha nyumba za watu mbuzi wewe? Yani unapenda sifa kumzidi Mungu aliyekuumba, mxieee na bado mwaka huu si unajifanya haujui kufanya kazi zaidi ya kutoa tigo na k, watakunyoosha, ebu badilika bhana, kwanza unazeeka mtoto huna, mume huna kazi umalaya tu mbwa wewe, kwanza nilikua nakutafuta mwizi wa umeme na maji wewe, kwanza nakuweka ndani mwenyewe malaya wewe unatuaribia watoto wetu
 
Somebody is desperate,getwell soon! Bubye!
 
Ha ha ha naona umefurahi, mi nmemuonea huruma kwakweli....labda ahamie kwa boyfriend ake Idris sultan

Idris yupi? Labda mwingine aiseh, mzigo wake huo, si anajifanyaga ana nyota yule na pesa, kisa cha kufukuzwa kama mbwa, looh aibu gani maskini imemkuta mbwa huyu
 
Wemaaaa oooh wema, maisha yamekushinda mjini, bora urudi kijijini ukalime aiseeh, k ishazeeka haina soko tena watu wanataka kitu mnato
 
Idris yupi? Labda mwingine aiseh, mzigo wake huo, si anajifanyaga ana nyota yule na pesa, kisa cha kufukuzwa kama mbwa, looh aibu gani maskini imemkuta mbwa huyu

Si ndio boyfriend wake sahivi, Amempokea kijiti Luis munana....tatizo vivulana havitunzagi atammiss sana clement
 
Back
Top Bottom