Wema Sepetu anaufunga mwaka vibaya, afukuzwa kwenye nyumba aliyodai kuinunua 280m

Wema Sepetu anaufunga mwaka vibaya, afukuzwa kwenye nyumba aliyodai kuinunua 280m

Huyu dada ana matatizo.. Ajiangalie sana, alafu umri unaenda hana la maana analofanya zaidi ya kuishi maisha ya kuigiza igiza...

Aisee Mkuu nasoma comments za wadau hapa mpaka namwonea huruma ,sasa uigizaji si ndio fani yake mkuu ??
 
Aisee Mkuu nasoma comments za wadau hapa mpaka namwonea huruma ,sasa uigizaji si ndio fani yake mkuu ??

Hapa wengine wanaweza wakawa wanacomment kwa chuki zao binafsi.. Ila huyu dem ni tatizo..
 
Mmh si Munana juzi tuu alikuja kwa birthday ya wema mara hui washaachana? Duuh basi nae ana pepo.
Ha ha ha ha kila birthday anasherehekea na mtu mpya, mwaka jana diamond, mwaka huu munana, sijui mwakani nani ha ha lol
 
Ishu ya makontena imeondoka na itaondoka na wengi.

Watahama tu mjini., bado wengine, mnawajua.
 
Hapa wengine wanaweza wakawa wanacomment kwa chuki zao binafsi.. Ila huyu dem ni tatizo..

Mkuu lakini maisha Mungu si ndie anapanga ??? Halafu tunaweza mlaumu Wema kumbe uki trace back generation moja ya kwao kuna mtu alifanya kitu kisicho sawa sasa ndio hivyo watoto wanavuna madhambi na nuksi za walio watangulia
 
Usiogope wema anadaiwa na warumi lol

Haha mkuu muoneeni huruma,kuzaa hazai,hana bahati ya kukaa na mwanaume,Tanesco nao wako nyuma yake ,Mara sijui Dawasco haya leo katimuliwa ,jamani vyote hivyo anavibeba ,anaweza akawa kichaa walahi
 
Mkuu lakini maisha Mungu si ndie anapanga ??? Halafu tunaweza mlaumu Wema kumbe uki trace back generation moja ya kwao kuna mtu alifanya kitu kisicho sawa sasa ndio hivyo watoto wanavuna madhambi na nuksi za walio watangulia

Mkuu Mungu hajampangia mtu mbaya.. U shape your own life..

Huyu binti kachezea sana maisha, ebu angalia maisha ya Miss Tanzania wenzake Kama Jack Mengi, Faraja Nyalandu, Nancy Sumari, yule mtoto wa Sinare, hata sasahivi ukiangalia ya huyu Brigete unaona ana promising future kuliko huyu Wema...
 
Oooh ghafla visenti sina nimerudi tandale,
Nimeshindwa kulipa bili, nimeuza madale.....

Aaaah je UTANIPENDAga..?

Wema bado tunakupenda tu usiogope wala nin...
 
Back
Top Bottom