Wema Sepetu anaufunga mwaka vibaya, afukuzwa kwenye nyumba aliyodai kuinunua 280m

Wema Sepetu anaufunga mwaka vibaya, afukuzwa kwenye nyumba aliyodai kuinunua 280m

nmeukumbuka ule wimbo wa dr remy ghafla kuna kasehem ameimba " weema wema qumer nyoqo"
 
warumi, kahamia kwenye mansion.Mkajinyonge
Madame miaka miaaaa
 
Last edited by a moderator:
Penye miti hakuna wajenzi.amechezea mitaji kwa kulea vimbwa,kuvaa hakufuria mbali kuwa maisha yaweza kubadilika wakati wowote.
 
Wema alikuwa na nyumba ya milioni 280 na ya milioni 400?

 
Last edited by a moderator:
kama ni kweli mungu anamuadhibu! manake maisha yake ni uchafu mwanzo mwisho..anajiita mtoto wa kiislam kutwa nzima kutembea uchi,kushinda club na pombe.. kuiba wanaume za watu wake zao wanalia,kumtukana lowassa hlf kesho ya eti anafanya dua kwake kumshukuru mungu kwa kumaliza kampeni salama....mengine kibao!atubu kwani hakuna alie mkamilifu na abadilike maisha yake hayapendez hata kidogo.
 
Ngoja kwanza...ina maana alikuwa na nyumba ingine ya milioni 280?

Manake miaka kama mitatu ilopita aliitambulisha nyumba 'yake' ilodaiwa ni ya milioni 400!

Au hii ya milioni 280 ndo ile ile ya milioni 400?



Ile ya m400 alipangishiwa na clement ndo ikawa ofisi za endless production, walivoachana jamaa akang'oa hadi nyaya za umeme
 
Last edited by a moderator:
INSHU YA DR MWAKA ILIPANGWA

Hivi karibuni mdada machachari anayejulikana kwa kutukana watu bila uoga akijivunia kutoishi Tanzania hivyo mkono wa dora hauwez kumkamata na ambaye alikuja ili agombee ubunge akaishia polisi Mange Kimambi aliibuka na kuanza kumsakama dr Mwaka kuwa ni daktari feki na amekuwa akiwafanyia vitu vya ajabu akina mama.
Iliniumiza akili kumuwazia Mwaka kwa sababu nina ndugu yangu aliyepata tiba kwa huyu jamaa na akapona tatizo lake na leo ana mtoto na furaha maishani mwake.
Nikajiuliza hivi kama kuna watu walifanyiwa vitendo visivyofaa mbona hawajawah toka hadharani? Basi hata huyo Mange mbona hakuweka ushahidi juu ya hao watu zaidi ya porojo?
Nikajiuliza tena! Hivi kila sehemu ya tiba mfano Muhimbili kila anayeenda kupata tiba anapona? Iweje kwa Mwaka waseme kuna wasiopona? Inamaana walitaka wote walioenda pale wapone? mpaka wale waliotoa mimba na kuharibu vizazi?
Wakageuka na kusema anajifanya daktari wa kisasa wakati ana kibali cha mitishamba! Nikajiuliza kuna mtu alishapewa dawa za hospital kule kwa ? Mwaka? Mbona wote wanaoenda pale wanapewa mitishamba na matunda pekee?
Wakauliza amesomea wapi udaktari hivi kumbe uganga wa mitishamba unasomewa? Chuo gani hapa Tanzania na mimi niende??
Nilipata walakini lakini baada ya mishemishe za kutwa tangu Mwaka aumbuliwe kule Insta kama wanavyodai kuna mtu mpya kaibuliwa na anapewa promo sana anaitwa Fadhageti! Kwa sasa ukienda kila page ya superstar utakuta kampost huyo jamaa tena kwa advetise nyingi kuwa anatibu matatizo ya uzazi na sio tapeli na kumpamba kibao.
Jana usiku Mange naye akampost kwa sekunde chache ila watu walipomshambulia akatoa!
Baada ya kuunganisha hayo yote nikagundua kuwa kuna mchezo unaendelea chini kwa chini tena watu wakiwa wamelipwa pesa ya kutosha(mange) na mheshimiwa mmoja ili tu wamshushe Mwaka na kumpandisha jamaa mwingine baada ya kuona Mwaka anakuwa tishio kwa matabibu wenzake wa tiba za asili!
Naamin hamtaweza kwa sababu waliowahi kupata tiba kutoka kwa Mwaka na kupona ni wengi na wanashuhuda zao!!
Sinema bado inaendelea subirini tuone mwisho wake

Junior
Insta USHAURI_mahusiano

Nakubaliana na wewe ilionekana kuna kitu maana siku hiyo hiyo mangena alianza kuposti majina ya wauguzi wa mahospitali akisema hao ndio watu waende.

Na watu wakaanza kumsakama Dr. Mwaka na kumtukana kwenye page yake.

Sasa leo kaifuta sababu lazima inamchafulia jina mangena ameandika na kuonyesha watu eti waseme kwanini amekimbia instagram utafikiri wauguzi wote wana account na wanajitamgaza biashara zao mule.

Mungu yupo atajibu kwa wanaosema ya uongo.
 
Last edited by a moderator:
Ile ya m400 alipangishiwa na clement ndo ikawa ofisi za endless production, walivoachana jamaa akang'oa hadi nyaya za umeme

Duh!

Kwa hiyo baada ya hapo ndo aka downgrade kwenye hii ya milioni 280?

Kaazi kweli kweli.
 
Oooh jm hataki mchezo ujinga ushaishia kwa jk

Ila huyu mwanamke alibrbwa sana na awamu iliyopita yaani duh kukimbilia kujigonga kwa awamu ya atano akashindwa maana anaweza hata watia aibu.

Amejiharibia maisha kwa kufata maneno ya hao asiowajua wa sebuleni kwake instagram kizaidi. Labda atajifunza na wale mameneja na mbeba pochi wao wanakula bata wanampa za usogo kwa mbali na kuwa vingine mbele yake.

Range nayo imechukuliwa na mwenye nayo, mkuni haukutosha kufikisha bei yake....labda amwagiwe zaidi apelekee apewe

Anauzi lakini na yote aliyokuwa nayo kupanda...labda atajifunza sasa
 
Sio wema tu wako wengi sana, hawa bongo movie na wale bongo fleva maisha yao ni ya maigizo tu, wanaishi kwa presha kubwa kwa kujitakia tu
 
Du, juzi tu alisema hafanyi mambo kumuonyesha Zari kwani yeye anamaisha na pesa ndefu kuliko Zari. Lakini hatujawahi kuona Zari anakamatwa kwa kuiba umeme na maji. Mjini kutamu sihami hata kidogo.
 
Back
Top Bottom