Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mungu hajampangia mtu mbaya.. U shape your own life..
Huyu binti kachezea sana maisha, ebu angalia maisha ya Miss Tanzania wenzake Kama Jack Mengi, Faraja Nyalandu, Nancy Sumari, yule mtoto wa Sinare, hata sasahivi ukiangalia ya huyu Brigete unaona ana promising future kuliko huyu Wema...
Ni sawa mkuu inawezekana ni kweli kabisa unachokisema ila mwisho wa siku ni binadamu tu na hatujakamilika na kesho yetu hatuijui ,i know she could have done better with all the fame ,chances and money but still thats not our job to judge her ,i real don't judge people by WHAT they are but i judge people by WHO they are ....may be we should just support her,and pray for a better tomorrow
Mkuu maneno ya watu yapo tu.. ila hayana lolote, kwasababu hata tukimsifu kwa maneno matamu hapa hayatampa nyumba ya kuishi na ni zaidi ya miaka 8 ameishi kama superstar, kwahiyo challenge kama hizi naamini zinamfanya awe shupavu zaidi..
Nimependa harakati zake za kujishughulisha na biashara ila bado anaupuuzi mwingi, naamini haya yatamjenga ila ikiwa tofauti itakuwa sikio la kufa..
Kabla ya Range (kama kweli ni yake) alikuwa na Murano (38m) na BMW (58m) huwezi ukawa na gari hizo afu huna hata kapagale au biashara inayojiendesha kukusaidia kujenga mjengo wako.. Anaishia kujisifu tu, kuvaa nguo za milioni kadhaa ni MATOPE kabisa sio AKILI hata kidogo....
Looh jamani, sasa lile range lake atapaki wap? Watu wanapenda umaarufu mjini halafu hawana pa kukaa mxieewe na bado
Kujifanya bossylady mxiee kumbe mwizi, kwanza wangeliweka ndani tu mbwa hilo
Eti mil 280 ,nyokoooooo mamamayo, rahis kuitamka eeh?? Kwa k gani uliyokua nayo hapa mjini? Rudi tu sinza uswahilin kwenu, maana ndo panakufaa
Mama ongea na mwanao umsaidie kafukuzwa, ongea na samia magufuli akusaidie pa kukaa mbwa wewe, kutwa kujishaua na kampeni za ccm, wamekupeleka wapi mxieeee
Haha mkuu muoneeni huruma,kuzaa hazai,hana bahati ya kukaa na mwanaume,Tanesco nao wako nyuma yake ,Mara sijui Dawasco haya leo katimuliwa ,jamani vyote hivyo anavibeba ,anaweza akawa kichaa walahi
Mi namuonea huruma
Diamond please msaidie wema akae ata stoo kwako jaman ataumbuka mjini maana hana pa kukaaa, kila mtu anamkimbia mjini alivyojaa nuksi maskini, hiz nyota za bundi tabu sana, zinawaka usiku tu mchana giza, atajibeba
Jamani Wema, anaigiza mpaka kwenye maisha yake halisi. Kama yule dada yake wa Los Angeles. Kuishi ili watu wakuone ni mbaya sana kwenye maisha unatakiwa uwe na principles. Hata kama umeamua kuuza basi unahakikisha unaweka malenge. Ninakumbuka wakati ule ameenda Dubai shopping akawa anaonyesha pair ya kiatu amenunua $4,000 sasa hao uliowaonyesha ndiyo wanahamaki sasa hivi.
Mnataka kusema Chama hakina msaada kwake? Utani huu jamani mama Samia
Jk si ndo yupo chamani? Au huyu dada ana ule mkosi wa kumvisha mbwa nguo mamilioni?Kuna tofauti kubwa kati ya jk na jm