lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Anawaza kwa kutumia makalio wema!Na c wema tu unanunuaje usafir tena wa mamilioni huna hata nyumba ya rumu 2?..heshima nyumba gar ya gharama mwisho gereji..Kampen zooote hamna la maana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@ Dinazarde ananitesa.Mzimu wake ananitokea kila siku
Looh jamani, sasa lile range lake atapaki wap? Watu wanapenda umaarufu mjini halafu hawana pa kukaa mxieewe na bado
Paparazi alikuwa kwenye pikipiki iendayo kasi?!
Ha ha ha ha!
Sasa martin kadinda ndo manager unategemea nini?Heaven on Earth Money Stunna, the late Dinazarde, Mrembo by nature, Madame B, Evelyn Salt lusungo Matola maatope matumbo
Hivi kwanini anatabia ya uongo namna hii?
Alisema ni yake kanunua mil 400 ila ikajagundulika alipanga tu...
Alisema kaolewa akatangaza sana, baada ya muda ikaja kugundulika ni movie
Hii Range pengine amekodi miezi miwili akirudisha aje kuibuka na lingine...
Ila abadilike, mi ninamkubali sana huyu Tz Sweetheart ni vile tu anazingua.. Akijielewa atakuja kutisha sana, asiridhike na kuwepo kwa watu waliotayari kutukanana kutwa nzima kwaajiri yake wakati yeye kwenye movie haeleweki wala vyanzo vingine vya mapato.. Awe mbunifu, atafute watu wenye mawazo chanya kupata ushauri, akubali UREMBO BILA AKILI NI SIFURIII... hapo ndio atapiga hatua maana hata akiokoteza visenti kwenye lipstick zake atakuwa anaishia kununua magauni na viatu vya gharama vya kutambishiana redcarpets
Wemaa wema qmnykooo in remmy's voiceJamani udaku ni noma....mbona niko na wema hapa kwake k'nyama ananionesha gauni lake la kuvaa x-mass kalinunua $6000
Duh!
Kwa hiyo baada ya hapo ndo aka downgrade kwenye hii ya milioni 280?
Kaazi kweli kweli.
Jana aliposti video za hizi snapchat
View attachment 312184
View attachment 312185
View attachment 312186
Kahamia hapa
Hana lolote,anakufa na tai yake shingoni.
Looh jamani, sasa lile range lake atapaki wap? Watu wanapenda umaarufu mjini halafu hawana pa kukaa mxieewe na bado