Wema Sepetu anaufunga mwaka vibaya, afukuzwa kwenye nyumba aliyodai kuinunua 280m

Anawaza kwa kutumia makalio wema!Na c wema tu unanunuaje usafir tena wa mamilioni huna hata nyumba ya rumu 2?..heshima nyumba gar ya gharama mwisho gereji..Kampen zooote hamna la maana!
 
Hivi kwanini anatabia ya uongo namna hii?

Alisema ni yake kanunua mil 400 ila ikajagundulika alipanga tu...

Alisema kaolewa akatangaza sana, baada ya muda ikaja kugundulika ni movie

Hii Range pengine amekodi miezi miwili akirudisha aje kuibuka na lingine...

Ila abadilike, mi ninamkubali sana huyu Tz Sweetheart ni vile tu anazingua.. Akijielewa atakuja kutisha sana, asiridhike na kuwepo kwa watu waliotayari kutukanana kutwa nzima kwaajiri yake wakati yeye kwenye movie haeleweki wala vyanzo vingine vya mapato.. Awe mbunifu, atafute watu wenye mawazo chanya kupata ushauri, akubali UREMBO BILA AKILI NI SIFURIII... hapo ndio atapiga hatua maana hata akiokoteza visenti kwenye lipstick zake atakuwa anaishia kununua magauni na viatu vya gharama vya kutambishiana redcarpets
 
Udaku tu huo sio kweli hawa jamaa ni waongo sana wa hiyo account ya insta
 
Paparazi alikuwa kwenye pikipiki iendayo kasi?!

Ha ha ha ha!

Ha ha ha dah yani nlivosoma hapo nlicheka, hiyo pikipiki ya mwendo kasi sijui ikoje, kuwa mwandishi wa udaku inabidi uwe na maneno sana
 
Sasa martin kadinda ndo manager unategemea nini?
Hivi kwanini anatabia ya uongo namna hii?

Alisema ni yake kanunua mil 400 ila ikajagundulika alipanga tu...

Alisema kaolewa akatangaza sana, baada ya muda ikaja kugundulika ni movie

Hii Range pengine amekodi miezi miwili akirudisha aje kuibuka na lingine...

Ila abadilike, mi ninamkubali sana huyu Tz Sweetheart ni vile tu anazingua.. Akijielewa atakuja kutisha sana, asiridhike na kuwepo kwa watu waliotayari kutukanana kutwa nzima kwaajiri yake wakati yeye kwenye movie haeleweki wala vyanzo vingine vya mapato.. Awe mbunifu, atafute watu wenye mawazo chanya kupata ushauri, akubali UREMBO BILA AKILI NI SIFURIII... hapo ndio atapiga hatua maana hata akiokoteza visenti kwenye lipstick zake atakuwa anaishia kununua magauni na viatu vya gharama vya kutambishiana redcarpets
 
Last edited by a moderator:
Kahamia hapa
 
Attachments

  • 1450725382679.jpg
    1450725382679.jpg
    18.3 KB · Views: 800
Sasa apo naanza kuelewa wimbo diamond utanipenda kumbe jamaa aliona mbali hivi wema akiusikia huu wimbo ata yeye unamgusa
 
Back
Top Bottom