Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja kwanza...ina maana alikuwa na nyumba ingine ya milioni 280?
Manake miaka kama mitatu ilopita aliitambulisha nyumba 'yake' ilodaiwa ni ya milioni 400!
Au hii ya milioni 280 ndo ile ile ya milioni 400?
Jk si ndo yupo chamani? Au huyu dada ana ule mkosi wa kumvisha mbwa nguo mamilioni?
INSHU YA DR MWAKA ILIPANGWA
Hivi karibuni mdada machachari anayejulikana kwa kutukana watu bila uoga akijivunia kutoishi Tanzania hivyo mkono wa dora hauwez kumkamata na ambaye alikuja ili agombee ubunge akaishia polisi Mange Kimambi aliibuka na kuanza kumsakama dr Mwaka kuwa ni daktari feki na amekuwa akiwafanyia vitu vya ajabu akina mama.
Iliniumiza akili kumuwazia Mwaka kwa sababu nina ndugu yangu aliyepata tiba kwa huyu jamaa na akapona tatizo lake na leo ana mtoto na furaha maishani mwake.
Nikajiuliza hivi kama kuna watu walifanyiwa vitendo visivyofaa mbona hawajawah toka hadharani? Basi hata huyo Mange mbona hakuweka ushahidi juu ya hao watu zaidi ya porojo?
Nikajiuliza tena! Hivi kila sehemu ya tiba mfano Muhimbili kila anayeenda kupata tiba anapona? Iweje kwa Mwaka waseme kuna wasiopona? Inamaana walitaka wote walioenda pale wapone? mpaka wale waliotoa mimba na kuharibu vizazi?
Wakageuka na kusema anajifanya daktari wa kisasa wakati ana kibali cha mitishamba! Nikajiuliza kuna mtu alishapewa dawa za hospital kule kwa ? Mwaka? Mbona wote wanaoenda pale wanapewa mitishamba na matunda pekee?
Wakauliza amesomea wapi udaktari hivi kumbe uganga wa mitishamba unasomewa? Chuo gani hapa Tanzania na mimi niende??
Nilipata walakini lakini baada ya mishemishe za kutwa tangu Mwaka aumbuliwe kule Insta kama wanavyodai kuna mtu mpya kaibuliwa na anapewa promo sana anaitwa Fadhageti! Kwa sasa ukienda kila page ya superstar utakuta kampost huyo jamaa tena kwa advetise nyingi kuwa anatibu matatizo ya uzazi na sio tapeli na kumpamba kibao.
Jana usiku Mange naye akampost kwa sekunde chache ila watu walipomshambulia akatoa!
Baada ya kuunganisha hayo yote nikagundua kuwa kuna mchezo unaendelea chini kwa chini tena watu wakiwa wamelipwa pesa ya kutosha(mange) na mheshimiwa mmoja ili tu wamshushe Mwaka na kumpandisha jamaa mwingine baada ya kuona Mwaka anakuwa tishio kwa matabibu wenzake wa tiba za asili!
Naamin hamtaweza kwa sababu waliowahi kupata tiba kutoka kwa Mwaka na kupona ni wengi na wanashuhuda zao!!
Sinema bado inaendelea subirini tuone mwisho wake
Junior
Insta USHAURI_mahusiano
Ile ya m400 alipangishiwa na clement ndo ikawa ofisi za endless production, walivoachana jamaa akang'oa hadi nyaya za umeme
Oooh jm hataki mchezo ujinga ushaishia kwa jk
Oooh wale shabiki zangu,
walionisifu kwa maneno matamu,
leo maadui zangu,
ni mitusi tu kwa instagramu.
Aaaah je UTANIPENDAGAA...?
Aje aishi kwangu hamna tatizo
Aiseeee......😕:what: