Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Looh jamani, sasa lile range lake atapaki wap? Watu wanapenda umaarufu mjini halafu hawana pa kukaa mxieewe na bado
Wemaaaa oooh wema, maisha yamekushinda mjini, bora urudi kijijini ukalime aiseeh, k ishazeeka haina soko tena watu wanataka kitu mnato
Mkuu Pasco hivi haya majanga ya wema yanahusiana na karma???Mkuu lakini maisha Mungu si ndie anapanga ??? Halafu tunaweza mlaumu Wema kumbe uki trace back generation moja ya kwao kuna mtu alifanya kitu kisicho sawa sasa ndio hivyo watoto wanavuna madhambi na nuksi za walio watangulia
https://vimeo.com/149848748nmeukumbuka ule wimbo wa dr remy ghafla kuna kasehem ameimba " weema wema qumer nyoqo"
Boxer.Ha ha ha dah yani nlivosoma hapo nlicheka, hiyo pikipiki ya mwendo kasi sijui ikoje, kuwa mwandishi wa udaku inabidi uwe na maneno sana
weeemaaaaaaaaaaa sasa amebadilika amekuwa ubayaaaaaaaaaaasaaaaaaaaaa.mnasema aende kijijini kijiji gan wema ataendaa? kwanza baba yake ni mmalawi huku aliletwa na akina ali karume.mnamsifu diamond sasa baadae Naye mtamponda,mmekuwa sadists kwanini? hivi ni nan aliyewarogaaaaaaaaa?
Aweke mgagani....
Siamini!
Pole yakeView attachment 312108
View attachment 312109
View attachment 312110
View attachment 312111
Pole wema itabidi tu urudi nyumbani kwa mama,make nyumbani ni nyumbani
Utaamini Kesho