Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya mjini tu Wema ni chizi magazeti.
am tryin to dig deep here baba sharon, am sure the girl knows in and out kuhusu pozi za hao washikaji, maana zimekua zikioneshwa mitandaoni sana...je alikua anataka tu kuuza gazeti ili watu wa-note hivyo vidole au she's tryin to convey a message kwamba she belongs to the devil himself?

![]()
![]()
![]()
Angalia kwa makini vidole vya mkono wa kulia wa Wema Sepetu,
Anaonesha ishara ya Wajenzi Huru (Freemason) lakini anafanya hivyo kijanja sana maana kageuza kiganja.
Alama aliyoionesha haina utofauti na hii ya George Bush Jr.
![]()
Sitaki kabisa kuamini kama ilikua ni bahati mbaya, maana Wema anaonekana kwa kudhamiria, amepozi kwa picha.
Na wala siamini kuwa alikua hajui anachofanya, maana habari hizi watanzania wengi twazijua sasa
"Mwenye macho haambiwi tazama"
am tryin to dig deep here baba sharon, am sure the girl knows in and out kuhusu pozi za hao washikaji, maana zimekua zikioneshwa mitandaoni sana...je alikua anataka tu kuuza gazeti ili watu wa-note hivyo vidole au she's tryin to convey a message kwamba she belongs to the devil himself?
hahahhaha naona umezichunguza sana hizi picha mana umeonekana kugundua mengi tuko pamoja mkuu mana na mm nimegundua magoti ya wema yalivo meusiiiiiFreemason hawavai 'kachumbari' hovyo hovyo.
Freemason hawavai 'kachumbari' hovyo hovyo.