Wema Sepetu aonesha alama ya Freemason liveeee!

Wema Sepetu aonesha alama ya Freemason liveeee!

...acheni kuendekeza ujinga na uzumbukuku! Freemasons...my .ss!
 
Attention seeker,wala msije mkashangaa siku atakayoishiwa upuuzi wake akaja na mpya ya kutegua mchana kweupe pale mwenge bus stand ili tu waandishi uchwara wamuweke front page..
 
yaani bongo bana,filimason,filimason! hivi hii singo bado inabamba!? teh,teh!
 
Kama nakumbuka hii sign hata wale wacheza mieleka wakiitwa N.W.O walikuwa wakiitumia (Macho Man) Au?
 
Mambo ya mjini tu Wema ni chizi magazeti.
 
Hayo ni mambo ya kijinga wanafanya hili waandikwe kwenye magazeti, hawana lolote, hakuna u freemason hapo hiyo ni janja tu
 
Mambo ya mjini tu Wema ni chizi magazeti.

Mkuu vipi za Siku Nyingi Naona Umepona ule Ugonjwa wako... Hadi umeweza kuandika Jina lako kwa Kuanzia na Herufi Kubwa!!!!!! dah magonjwa ya Ubongo kumbe yanaponeka!
 
am tryin to dig deep here baba sharon, am sure the girl knows in and out kuhusu pozi za hao washikaji, maana zimekua zikioneshwa mitandaoni sana...je alikua anataka tu kuuza gazeti ili watu wa-note hivyo vidole au she's tryin to convey a message kwamba she belongs to the devil himself?

Hapo red mkuu au ulimaanisha Herself?
 
Freemason hawavai 'kachumbari' hovyo hovyo.
 
am tryin to dig deep here baba sharon, am sure the girl knows in and out kuhusu pozi za hao washikaji, maana zimekua zikioneshwa mitandaoni sana...je alikua anataka tu kuuza gazeti ili watu wa-note hivyo vidole au she's tryin to convey a message kwamba she belongs to the devil himself?

Tatizo lenu mmeshadanganywa sana na wachungaji uchwara mpaka sasa mnaboa.Hivi wewe leo hii watu8 unarudi nyumbani unakuta binti yako mdogo amechora kwenye karatasi au kupiga picha na kuweka hiyo sign, utakuja kutuambia hapa kuwa sasa mwanangu kapotea, kajiunga freemason? Kweli??!!! Mnaudhi sana tangu mjue juujuu kuhusu freemason.
 
Wadada!they look too artificial jamani! Dah iv nani anawadanganya?kama upo upo2,.
 
IMG_3267.JPG

T20.jpg

T18.jpg

Angalia kwa makini vidole vya mkono wa kulia wa Wema Sepetu,
Anaonesha ishara ya Wajenzi Huru (Freemason) lakini anafanya hivyo kijanja sana maana kageuza kiganja.
Alama aliyoionesha haina utofauti na hii ya George Bush Jr.

bush_satan_sign.jpg

Sitaki kabisa kuamini kama ilikua ni bahati mbaya, maana Wema anaonekana kwa kudhamiria, amepozi kwa picha.
Na wala siamini kuwa alikua hajui anachofanya, maana habari hizi watanzania wengi twazijua sasa

"Mwenye macho haambiwi tazama"

Fotoshop angalia kichwa hicho kimepachikwa stuka.
 
am tryin to dig deep here baba sharon, am sure the girl knows in and out kuhusu pozi za hao washikaji, maana zimekua zikioneshwa mitandaoni sana...je alikua anataka tu kuuza gazeti ili watu wa-note hivyo vidole au she's tryin to convey a message kwamba she belongs to the devil himself?

kweli we ni greater thinker good hapo akuna kitu na watu wengi hawawajua vizuri hawa watu si mchezomchezo ooohoo!
 
samahani mm niko nje ya thread kidogo ...Magoti ya wema jamani khaa! kweli obagi zinaharibu watu sana
ila naona kama kafanya makusudi ili azidi kua ktk front page ya magazeti pendwa mana huyu naye kwa vituko naona kajiwekea kila siku lazima nitoke
 
Freemason hawavai 'kachumbari' hovyo hovyo.
hahahhaha naona umezichunguza sana hizi picha mana umeonekana kugundua mengi tuko pamoja mkuu mana na mm nimegundua magoti ya wema yalivo meusiiiii
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom