Wema Sepetu apata dili nono baada ya filamu ya Heaven Sent kumpatia tuzo

Eti Riyama analia clouds kwamba Sinema Zetu imemdharilisha.Wamuombe radhi kaharibiwa image yake.Alikuwa hajui chochote kile japo alialikwa kwenye sherehe
 

Eti tunzo za kimataifa, kua na adabu mshkaj upo nawatuwazima hapa.
 
Mkuu uwe una taarifa kamili kabla ya kuandika tuhuma. Wema alimpigia kampeni Magufuli na alihamia CHADEMA Magufuli akiwa raisi
Hahahaaaa!!! Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu lasivyo unaumbuka kama huyu jamaaa
 
macho ya Jini
 
macho ya Jini
 
Next, utasikia Hamisa Mobeto pia anaita waandishi wa habari.

Then atafuatia ebitoke na wapuuzi wengine.

As if watanzania tumekua watu wa kusikiliza vitu vya hovyo kutoka kwa watu wa hovyo hovyo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ebana daaah!!! Super fine analysis
 
Eti Riyama analia clouds kwamba Sinema Zetu imemdharilisha.Wamuombe radhi kaharibiwa image yake.Alikuwa hajui chochote kile japo alialikwa kwenye sherehe
Clouds nao wanahangaika kutafuta watu kuponda na kulalamika tuzo ili washushe hadhi ya tuzo. Huyo Rihama naye hajui kama anatumika tu kwa manufaa ya hiyo kampuni.

Clouds zama zao zinaelekea ukingoni, lazima wa strategize upya. Watatakiwa kutumia nguvu kubwa mno kupambana na Azam, na pia kushindana na wasafi media. Clouds wanatakiwa kujua mpambano kati yao na Azam si sawa na EFM. Azam wana nguvu ya pesa. Clouds ili wapate pesa ni mpaka wawaminye wasanii.

By the way, inawezekana Wema hafai, na pia azam waliwatumia Dee na Misa kunogesha tuzo. lakini ukweli ni kwamba uwepo wa Wema as X wa Dee at the same time, na lile tukio la Baba na Mama Dylan kutangaza tuzo lilileta msisimuko wa pekee kuliko tuzo zenyewe. Nimewapenda Azam kwa kuingia kwenye competition ambayo clouds ilionekana ku-lead.
 
unataka watu wasimuongelee na kumtizama lakini wewe unamuongelea hapa utakavyo.hivi ni nani aliyekuroga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…