Wema Sepetu apata dili nono baada ya filamu ya Heaven Sent kumpatia tuzo

Wema Sepetu apata dili nono baada ya filamu ya Heaven Sent kumpatia tuzo

Press conference ya wema kuhusu heaven sent na jins ilivyokuwa mpaka anafanikiwa kupata tuzo..
Nilichoona ni kwamba wanajiosha kutokana na maneno meng ya watu baada ya kupokea tuzo
Lakn bidada amesema movie imestahil..

Watu wameuliza wema alisema hatotoa dvds mpaka hela yake ya uandaaji irud..namely mil 35.

Wema kasema pesa imerud na imezid.. na istoshe kapata deal na agusta company ya kusambaza movie yake kwa mfumo wa dvds..

Ila sasa nilichojifunza ni kwamba we still have a long way to GO.. wasanii wanashindwa kutumia fursa ambazo zipo.. na platfoms ambazo znatumika kwa wao kujitangaza..

Wasanii wana mazoea na umaarufu wao.. hawawaz kupiga hela wanachowaza tu ni media attention..
Nakumbuka juz juz nilipost kuhusu WEMA SEPETU KUHUSU KUSHINDA ZILE TUZO MBILI.. but watu especially wema lovers mapov yakawatoka...

Ni kwamba kiukweli tukiangalia improvent katika sekta ya movies bado kabisa..

Bado tuna story za kizamani sijui mamaako anakuloga ili uachike kwenye ndoa, au mke anakuroga mume usitoke nje ya ndoa..kuangushana kwenye makoch, jambaz limevaa koti refu na miwan nyeusi, mzee magar na msaut wake uleule kila movie.. au jengua ye mkali kila movie.. heeeeeeh jini linapiga simu, au jini limepanda bus, nk

By the way story hiz almost kila movie za kiswahil kama sio za africa vimejaa mambo haya ya uganga uganga.. kutesana..umbea umbea nk.

Point yangu ni kwamba watu wanaoandaa hiz movie wasome vitabu sana na waangalie sana movies za watu hii itasaidia kuleta ideas mpya..

Watu weng hatupend kuangalia bongo movies kwa sabab ya story zake na wasanii wenyewe wanavyoigiza kwa mazoea hawajui kuvaa uhusila..
Hawatak kukosolewa...

Na ndio maana kuna kipnd walikurupuka kuandamana kupinga sinema za kikorea na zngne..

Watu wanaona hakuna jipya bongo movie kwasabab movies znataka pesa.. investment ya hali ya juu.. production za ukweli, directors ambao wameenda shule..
Directors ambao akisema hapa rudia unarudia..
Watu wanafanya movie zaid ya mwaka unaona kila kitu kimeguswa.. wahusika wamezoea na wanaigza kama maisha yao..

Bongo movies waache umimi.. waache mazoea..
Kina wema sepetu mashabik wao wanaowapigia kura bila kuangalia ubora wa kaz ni kwamba wanawalaza wasaanii wao..
Msanii atajiona bora kila siku kwasabab ana jopo la watu nyuma yake ambao kupiga kura 100 kwa siku hawaoni tabu..
Tupongeze pale mtu akifanya vizur na si kubebwa na watu wenye mapenz ambao hata kitu kibaya wenyewe wanapiga kura.

Hard work pays... no pain no gain..
 

Attachments

  • FB_IMG_1522510233866.jpeg
    FB_IMG_1522510233866.jpeg
    32.2 KB · Views: 35
ntakuepo ukumbini.
akimaliza tu.
ntawaletea mrejesho
 
Back
Top Bottom