Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani mange unaarufu wake unashukaje kwa mfano?Pole dada yangu wema tatizo mtafuta makiki kupitia majina ya watu mange kimambi kutwa kukusakama
Pole dada wema. mange kaona umarufu wake umeshuka kwa kas hivyo kaona ajikwamue kupitia jina lako na wapuuz wanaendelea kumshangilia
Yesu ni mwema dada yote yatapita
Mange ndo kanambiaNani kakuambia mange ndo anaemsakama?
Oky sawa mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani mange unaarufu wake unashukaje kwa mfano?
Poleee wema apambane na hali yake
siku akihamia ccm na mange atamfuata ccm..watu wengine bana mnashindwa kumuelewa hata akili ya mangeShoga yake Mange ameanza kumnanga asubiri siku atakaporudi CCM ndipo makombora toka Korea Kaskazini yatakavyoanza kumiminika.
Ila huyu dada ana damu mbaya ya kusemwa hata afanye nini atadhihakiwa tu
Kabla hata ya Insta wema ni mtu wa kusemwa sanaTatizo ni team yake inatukana watu vibaya na yeye akawa anawasapoti kwa likes na comments saiv mambo yamemgeukia, anajigeuza victim
Kabisa yanii.Mtu anayetaka kufa huwa hapost instagram
Nadhani kaona kachuja kuongelewa anatafuta pa kutokea