Wema sepetu atamani afe kisa mitandao ya kijamii

Wema sepetu atamani afe kisa mitandao ya kijamii

Wema alipoupata u miss Tanzania tu alianza mwenyewe kutengeneza drama kwa kuvujisha picha akiwa na T.I.D kitandan kisha akawa anawaita mwenyewe au kupeleka story global hasa enzi za kumtosa kanumba kisha kuangukia kwa jumbe
Kabla hata ya Insta wema ni mtu wa kusemwa sana
 
Rip wema wimbo wa mondi nn katajwa sana mle bt nahisi ni stress za vitoto vinavyokuja kuchuana nae kwenye indastri
 
siku akihamia ccm na mange atamfuata ccm..watu wengine bana mnashindwa kumuelewa hata akili ya mange
mange atamfuata wema popote pale alipo
kwani nani alimfanya mange aanze kuwaponda CCM? Si ni wema alivyojitoa CCM?

Aisee pole inaelekea mambo ya umbea wa mjini hata hufuatiliagi, Wema kahamia chadema majuzi tu baada ya ile kamatakamata ya Makonda mambo ya madawa ya kulevya wakati huo Mange anawachamba ccm kitambooo
 
siku akihamia ccm na mange atamfuata ccm..watu wengine bana mnashindwa kumuelewa hata akili ya mange
mange atamfuata wema popote pale alipo
kwani nani alimfanya mange aanze kuwaponda CCM? Si ni wema alivyojitoa CCM?
Ameanza kuponda Ccm baada ya bunge live kuondolewa wema wa juzi tu hapa
 
Dhambi ya kumlia mil 500 yule dogo wa bba mpaka amekua comedian haitamuacha salama
 
Back
Top Bottom