Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Wema alipoupata u miss Tanzania tu alianza mwenyewe kutengeneza drama kwa kuvujisha picha akiwa na T.I.D kitandan kisha akawa anawaita mwenyewe au kupeleka story global hasa enzi za kumtosa kanumba kisha kuangukia kwa jumbe
Kabla hata ya Insta wema ni mtu wa kusemwa sana