Wema sepetu atamani afe kisa mitandao ya kijamii

Yeye amejitengeneza mwenyewe kuwa hivyo alivyo, na Mungu amemsaidia amekuwa hivyo hivi sasa yamemshinda tena anaomba Mungu amchukue dunia haishi maajabu hii..,
 
Sijawahi mkubali huyo mwanadada japo yeye anajiita Tanzania cwrty heart... Ila mi namuona hamna kitu... Ata kwenye siasa hamna kitu sioni effort yeyote ile
 
Ameishi na kuendelea kuishi sababu ya social media. Lakini sababu anaitumia bila balance...kama ilimjenga ajue ina limitations zake
 
Kama hupati changamoto kwenye maisha ujue HAUKUI...hana haja ya kukata tamaa wala kujutia ...kila kinachotokea akubali ni sehemu ya kujifunza
 
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani mange unaarufu wake unashukaje kwa mfano?
Poleee wema apambane na hali yake
 
Kwa hiyo mazishi yatakuwa wapi?
 
Shoga yake Mange ameanza kumnanga asubiri siku atakaporudi CCM ndipo makombora toka Korea Kaskazini yatakavyoanza kumiminika.
siku akihamia ccm na mange atamfuata ccm..watu wengine bana mnashindwa kumuelewa hata akili ya mange
mange atamfuata wema popote pale alipo
kwani nani alimfanya mange aanze kuwaponda CCM? Si ni wema alivyojitoa CCM?
 
Mi nafikiri anatamani afe kwa mtindio wa ubongo alionao, sio social media.
 
Tatizo ni team yake inatukana watu vibaya na yeye akawa anawasapoti kwa likes na comments saiv mambo yamemgeukia, anajigeuza victim
Kabla hata ya Insta wema ni mtu wa kusemwa sana
 
Wema naye ashasahaulika anatafuta huruma ya watu.
Mara ngap anaaga kutumia mitandao ya kijamii na kesho yake anapost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…