tinkibiruka mhaya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 929
- 794
Hahahahhahaha27 mbona wamemuonea,wafanye 22 kabisa.....kuna yule msanii mwingine wa bongo movie anaitwa Nisha huu ni mwaka wa nne mfululizo anaadhimisha birthday ya kutimiza miaka 27 huku ana toto la kike la miaka 15
hahahahhahahahahahhahahahhahahahahahhahahahhahhhhaHahaha
Wema kawachosha watu yaan hiyo 27 watu hawa amini.
Halafu Sijui ana hesabiaje umri wake!! Maana alikuwa kanipita ila sasa mimi ndo nakaribia kumpita yeye
Ana bahati kweri kweri, wakati wengine wakiongeza umri yeye anapunguza,,Kwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahhahahahahahhahahahhahahahahahhahahahhahhhha
dah!
unanidai aseee,hakiiiii umeuwa mdogo wangu!
nilikuwa nimechokaaaa lakini comment yako imenionezea dakika za kumalizia vimeo!
ahsante sana!
Utu uzima haukwepeki Wema ata ufanye nn!Huo usichana waachie watoto sasa,hata ngozi yako yakana umri unaoung'ang'ania.Kwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
UmenenaMiaka yangu tu ndio inasogea yakwao ipo pale pale.
Si kweli. Mimi huwa sifichi umri wangu na niko proud kusema popote bila hata kuficha. Ninaamini katika ukweli na unaniweka huru sana. Do not generalise mkuuu.Psychological facts...mwanamke hapend kusema miaka yake kamili kwani akionekana mkubwa anahisi kupoteza hadhi yake hivyo hupunguza mwaka mmoja au miwili..lakin mwanaume hupenda kuonekana mkubwa hivyo huongeza mwaka mmoja au miwili kwa sabab anaitaj kupata sifa za kimajukumu... big up wema sepetu kwa kujipunguzia mwaka mmoja ur real woman na unatufanya cc wanasayansi kuendelea kuprove theory zetu.. psychology never lies
mwaka 2006 wakati anakuwa miss Tanzania alikuwa na umri gani?Inawezekana anatimiza miaka 27 tangu azae, na alizaa akiwa na miaka 20 ( mimba iliharibika,)
dah umenikumbushaaaali hivi ile muvi la siti limeishia wapi mkuuSitti Mtemvu alikuwa na miaka mingapi?