Kumbukumbu zinaonyesha kuwa wakati Wema anagombea miss Tanzania mwaka 2006 alikuwa na miaka 19, na sote tunaamini hivyo kwa sababu
1/Wema Alithibitisha hilo kwa vyeti vya kuzaliwa na pia idhini ya mzazi wake kuruhusu kushiriki mashindano hayo.
2/Kamati ya miss Tanzania isingeruhusu scandal ya kuruhusu mtoto wa chini ya miaka 18 kwenda kushiriki miss world (Kumbuka kuna utaratibu wa Passport, Visa nk ambavyo vyote vinataka uthibitisho wa vyeti halisi vya kuzaliwa).
Kwa mahesabu halisi na mahesabu ya Uhakika ni kwamba Wema Sepetu ana miaka 29 kwa sasa.
Tofauti na hapo Wema anaonekana mkubwa zaidi, hii ni kutokana na kuchakazwa na Vipodozi, Vileo, Unene, Kemikali na msongo wa mawazo.
[HASHTAG]#Happy[/HASHTAG] Birthdate Wema Sepetu.