Wema Sepetu atimiza miaka 27

Wema Sepetu atimiza miaka 27

Hahaha
Wema kawachosha watu yaan hiyo 27 watu hawa amini.
Halafu Sijui ana hesabiaje umri wake!! Maana alikuwa kanipita ila sasa mimi ndo nakaribia kumpita yeye
hahahahhahahahahahhahahahhahahahahahhahahahhahhhha
dah!
unanidai aseee,hakiiiii umeuwa mdogo wangu!
nilikuwa nimechokaaaa lakini comment yako imenionezea dakika za kumalizia vimeo!
ahsante sana!
 
hahahahhahahahahahhahahahhahahahahahhahahahhahhhha
dah!
unanidai aseee,hakiiiii umeuwa mdogo wangu!
nilikuwa nimechokaaaa lakini comment yako imenionezea dakika za kumalizia vimeo!
ahsante sana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
daaah kumbe mtoto mbichi kabsa!
aandelee kulinga tu umri bado unaruhusu
 
Utaficha vyote ila siyo umri uchanguzi 2020 siamini kama ataweza tena kufanya kampeni atakuwa amesha zeeka
 
Psychological facts...mwanamke hapend kusema miaka yake kamili kwani akionekana mkubwa anahisi kupoteza hadhi yake hivyo hupunguza mwaka mmoja au miwili..lakin mwanaume hupenda kuonekana mkubwa hivyo huongeza mwaka mmoja au miwili kwa sabab anaitaj kupata sifa za kimajukumu... big up wema sepetu kwa kujipunguzia mwaka mmoja ur real woman na unatufanya cc wanasayansi kuendelea kuprove theory zetu.. psychology never lies
Si kweli. Mimi huwa sifichi umri wangu na niko proud kusema popote bila hata kuficha. Ninaamini katika ukweli na unaniweka huru sana. Do not generalise mkuuu.
 
Kwa wanavyochezea maisha hasa na kujikoboa mwili na madawa ya kuongeza uzuri ni lazima waonekane wazee. Mbaya zaidi kubadilisha mabwana kila siku iitwayo leo ni lazima uzeeke tu. Mabinti na wanawake tujitunze tu hakuna namna. Vinginevyo utaonekana ajuza mpaka jamii ikukimbie.
 
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa wakati Wema anagombea miss Tanzania mwaka 2006 alikuwa na miaka 19, na sote tunaamini hivyo kwa sababu
1/Wema Alithibitisha hilo kwa vyeti vya kuzaliwa na pia idhini ya mzazi wake kuruhusu kushiriki mashindano hayo.

2/Kamati ya miss Tanzania isingeruhusu scandal ya kuruhusu mtoto wa chini ya miaka 18 kwenda kushiriki miss world (Kumbuka kuna utaratibu wa Passport, Visa nk ambavyo vyote vinataka uthibitisho wa vyeti halisi vya kuzaliwa).

Kwa mahesabu halisi na mahesabu ya Uhakika ni kwamba Wema Sepetu ana miaka 29 kwa sasa.
Tofauti na hapo Wema anaonekana mkubwa zaidi, hii ni kutokana na kuchakazwa na Vipodozi, Vileo, Unene, Kemikali na msongo wa mawazo.

[HASHTAG]#Happy[/HASHTAG] Birthdate Wema Sepetu.
 
Miaka ya wema inarudi nyuma ametimiza miaka 22 Jana.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Wema huwa anataja umri wake halisi ambao wengi ndo tunaamini hivyo (kuzaliwa 88), na ile keki yake ya mwaka juzi ilionyesha ana miaka 26, so she is 28 now. Na sijui ni kwa millard ayo kule wameandika kuwa amesema hafanyi birthday hadi akifikisha 30 yrs mwaka 2018 . So ana 28 now, hao mashabiki zake naona ndo hawatakagi azeeke, wame-pause umri wake
 
Back
Top Bottom