Huwa naipenda sana JF! Maana kuna siku nilieleza uzoefu wa maisha, ukaniona divyo sivyo. Kumbe ulikuwa na haki ya kufanya hivyo maana wenzako mwaka huo tulikuwa na vijana ambao kama hatukusingiziwa, ni wetu wa kuwazaa, walikuwa na miaka 19. Hongera sana!Nilikua darasa la 6 pia
Basi Faza nisameheHuwa naipenda sana JF! Maana kuna siku nilieleza uzoefu wa maisha, ukaniona divyo sivyo. Kumbe ulikuwa na haki ya kufanya hivyo maana wenzako mwaka huo tulikuwa na vijana ambao kama hatukusingiziwa, ni wetu wa kuwazaa, walikuwa na miaka 19. Hongera sana!
Kawaida tuBasi Faza nisamehe
Watu wanajipigia tukuna habari kwamba yule miss TZ 2006, Wema Sepetu ameanza kuchanganyikiwa. Wiki iliyopita alimfanyia fujo mpenzi wake wa zamani ambaye ni msanii wa maigizo nchini Steven Kanumba na kuvunja vioo vya gari lake.
inasemekana kwa sasa mrembo huyu anatumia kilevi aina ya Bangi na wazazi wake wameshamshindwa wanamwachia Mungu tu.