Wema Sepetu atupwa lupango

Wema Sepetu atupwa lupango

  • Thread starter Thread starter GP
  • Start date Start date
kuna habari kwamba yule miss TZ 2006, Wema Sepetu ameanza kuchanganyikiwa. Wiki iliyopita alimfanyia fujo mpenzi wake wa zamani ambaye ni msanii wa maigizo nchini Steven Kanumba na kuvunja vioo vya gari lake.
inasemekana kwa sasa mrembo huyu anatumia kilevi aina ya Bangi na wazazi wake wameshamshindwa wanamwachia Mungu tu.
Watu wanajipigia tu
 
Time flies

2009 by that I was very young nilikuwa UGANDA kwa museven nasoma elementary school class five
 
Back
Top Bottom