kila mtanzania anayo haki ya kushiriki na kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa au kutokuwa mwanachama,again tatizo la polisi kupiga raia limejitokeza tena na litatokea tena wengi tunashabikia because hujaguswa au ndugu yako yajaguswa but u never know one day will happen,polisi wapo kulinda raia na mali zao sio kupiga raia au kuwaonea ndio maana wenzetu ambako democracy ipo kuna kitengo maalum cha raia kwenda kulalamika once unapokosewa haki na polisi,NA HAWA WANA UWEZO WA TO ARREST NA KUMFUNGULIA MASHITAKA POLISI,tanzania tunajenga chuki kila kukicha between polisi na raia ,halafu kesho unamsikia spokesperson wa polisi anaomba ushirikiano na polisi!!pole mno mliopatwa na janga hili