Wema Sepetu auchukia uongozi wa awamu ya tano.

Wema Sepetu auchukia uongozi wa awamu ya tano.

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Moja ya story ambayo inatrend kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni pamoja na issue aliyoiandika Mwigizaji staa wa Bongomovie na Miss Tanzania 2006 Wema sepetu katika ukurasa wake wa Twitter akizungumzia hali ya mtu aliyedai ni ndugu yake. Wema ameandika kupitia ukurasa wake wa twitter leo July 28, 2017 akisema:>>>

”Ninachojua mimi ni kwamba Binadamu ana haki ya kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya ndugu yake… Imeniuma sana kilichomtokea kaka angu jana. Only now nakuja kujua kwamba alichukuliwa na mapolice wakaenda kumpiga mpaka sasa yupo hospital amelazwa
20398333_1623320261067876_6889821016793546752_n.jpg

20347731_475005179546891_6508807325434773504_n.jpg
 
Mbona wengine hawakupigwa apigwe yeye tu? Lazima mjifunze kutii jeshi la polisi la sivyo ata wewe utakula kipondo cha mbwa mwizi na huo mdomo wako mrefu unaotuletea. Mnaleta umjini kwa mapoti wakati washapewa rungu.
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Mbona wengine hawakupigwa apigwe yeye tu? Lazima mjifunze kutii jeshi la polisi la sivyo ata wewe utakula kipondo cha mbwa mwizi na huo mdomo wako mrefu unaotuletea. Mnaleta umjini kwa mapoti wakati washapewa rungu.
Unachoshabikia sikioni,kumbuka haya mambo ni kupokezana tu nani alijua kama Adam Malima atadindishiwa na yule kijana polisi kiasi cha kufyatuliwa risasi?! Hivyo si vyema kuweka ushabiki Mbele kama kweli kijana alikosea kwa kukiuka taratibu za kimahakama basi polisi wao sio mahakimu mpaka wamuhukumu kwa kichapo wangemfungulia mashtaka,Leo kwako kesho ni kwetu Mimi na wewe kumbuka hatujakamilika kiasi cha sisi na ndugu ZETU kuto kufanya makosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilishasema mambo ya siasa ntachangia Jamii Forum ila nje ya hapa nnauchuna na ninajifanya ninamsifia sizonje ingawa simkubali.

Wema ajue huu wakati wa sizonje na sio daddy kikwete akileta mdomo wake huo jela itamuita, siasa awaachie wakina Lissu..... yeye bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila mtanzania anayo haki ya kushiriki na kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa au kutokuwa mwanachama,again tatizo la polisi kupiga raia limejitokeza tena na litatokea tena wengi tunashabikia because hujaguswa au ndugu yako yajaguswa but u never know one day will happen,polisi wapo kulinda raia na mali zao sio kupiga raia au kuwaonea ndio maana wenzetu ambako democracy ipo kuna kitengo maalum cha raia kwenda kulalamika once unapokosewa haki na polisi,NA HAWA WANA UWEZO WA TO ARREST NA KUMFUNGULIA MASHITAKA POLISI,tanzania tunajenga chuki kila kukicha between polisi na raia ,halafu kesho unamsikia spokesperson wa polisi anaomba ushirikiano na polisi!!pole mno mliopatwa na janga hili
 
Polisi kazi Yao kusema tii Sheria bila shuruti wakati wao wenyewe wanashindwa kutii Sheria bila shuruti mtu mmemkata kuna haja kumpiga tena huu ni upuuzi kiwango cha zege
 
Huwenda kuna kitu alikifanya huyo ndugu yake Wasingeanza tu kumpa kipondo bila sababu.

-Ndumilakuwili-


We bhana unasema nini, wanaopigwa na polisi sio wote wenye Makonda. Binafsi nimeshawahi kunyanyaswa na Polisi wa Tanzania bila sababu. Nilipigwa, nikanyang'anywa pesa zangu, nikalazwa lupango bila maelezo, na asubuhi nikapewa PF3 nikajitibu mwenyewe. Tanzania haki haitendeki kwa raia
 
Back
Top Bottom