Wema Sepetu auchukia uongozi wa awamu ya tano.

Sio kwamba wangemfungulia mashitaka badala ya wao kutoa hukumu?
Labda aligoma kuchukuliwa ili taratibu za kumfikisha kwenye mkono wa sheria zifuatwe wakaona wamlainishe kidogo ili akubali kwenda.
 
Kichapo ni sehemu ya kazi katika jeshi la polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndugu yake ni nani?aweke na picha basi vinginevyo ni kutafuta kiki tu
 
Hujui kwa sab hujawahi kupitia polisi. Unadhani wanakaa na bunduki km fenicha? Wanafanya mazoezi mbali mbali kwa ajili ya kulia ugali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sheria inayompa mamlaka polisi kumshambulia mkosaji,tatizo unachukulia kimazoea sana zile silaha si kwa ajili ya kuelekeza maangamizi kwa kila tukio ila ni kwa ajili ya kulinda usalama na zitatumika pale tu hali ya usalama itakapotishia au kutoweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askari anaruhusiwa kutumia nguvu kiasi chochote kinachofaa ikiwemo risasi. Huwezi kumpangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wengine hawakupigwa apigwe yeye tu? Lazima mjifunze kutii jeshi la polisi la sivyo ata wewe utakula kipondo cha mbwa mwizi na huo mdomo wako mrefu unaotuletea. Mnaleta umjini kwa mapoti wakati washapewa rungu.
Ni idara ya polisi sio jeshi la polisi. Halafu sema watu watii sheria sio polisi, au hujui polisi ni raia wenzako wanaotakiwa kutii sheria za nchi?
 
Ndio maana askari wakidundwa huko kibiti raia wanashangilia kwa ajili ya mambo Kama haya ya unyanyasaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…