Umslopagazi
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,675
- 903
Huyu binti bora akae kimya kuliko kujifanya nunda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaelalamika eti kaja mahakamani na kuanza show off zisizokuwa na maana, akaanza kumrekebisha mamake kiremba na mishauzi kibao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda aligoma kuchukuliwa ili taratibu za kumfikisha kwenye mkono wa sheria zifuatwe wakaona wamlainishe kidogo ili akubali kwenda.Sio kwamba wangemfungulia mashitaka badala ya wao kutoa hukumu?
Kichapo ni sehemu ya kazi katika jeshi la polisi.Unachoshabikia sikioni,kumbuka haya mambo ni kupokezana tu nani alijua kama Adam Malima atadindishiwa na yule kijana polisi kiasi cha kufyatuliwa risasi?! Hivyo si vyema kuweka ushabiki Mbele kama kweli kijana alikosea kwa kukiuka taratibu za kimahakama basi polisi wao sio mahakimu mpaka wamuhukumu kwa kichapo wangemfungulia mashtaka,Leo kwako kesho ni kwetu Mimi na wewe kumbuka hatujakamilika kiasi cha sisi na ndugu ZETU kuto kufanya makosa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii ndio bongo bahati mbaya vipigo tu hadi mahakamani.
maaskari wabongo mabingwa wa kusingizia kesi sina hamna naoSio kwamba wangemfungulia mashitaka badala ya wao kutoa hukumu?
Hujui kwa sab hujawahi kupitia polisi. Unadhani wanakaa na bunduki km fenicha? Wanafanya mazoezi mbali mbali kwa ajili ya kulia ugali?
Hakuna sheria inayompa mamlaka polisi kumshambulia mkosaji,tatizo unachukulia kimazoea sana zile silaha si kwa ajili ya kuelekeza maangamizi kwa kila tukio ila ni kwa ajili ya kulinda usalama na zitatumika pale tu hali ya usalama itakapotishia au kutoweka.Hujui kwa sab hujawahi kupitia polisi. Unadhani wanakaa na bunduki km fenicha? Wanafanya mazoezi mbali mbali kwa ajili ya kulia ugali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Askari anaruhusiwa kutumia nguvu kiasi chochote kinachofaa ikiwemo risasi. Huwezi kumpangia.Hakuna sheria inayompa mamlaka polisi kumshambulia mkosaji,tatizo unachukulia kimazoea sana zile silaha si kwa ajili ya kuelekeza maangamizi kwa kila tukio ila ni kwa ajili ya kulinda usalama na zitatumika pale tu hali ya usalama itakapotishia au kutoweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za hivyo sijapata kuona,ndio maana watanzania tunapelekeshwa hovyo maana wapuuzi ni wengi mnoAskari anaruhusiwa kutumia nguvu kiasi chochote kinachofaa ikiwemo risasi. Huwezi kumpangia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni idara ya polisi sio jeshi la polisi. Halafu sema watu watii sheria sio polisi, au hujui polisi ni raia wenzako wanaotakiwa kutii sheria za nchi?Mbona wengine hawakupigwa apigwe yeye tu? Lazima mjifunze kutii jeshi la polisi la sivyo ata wewe utakula kipondo cha mbwa mwizi na huo mdomo wako mrefu unaotuletea. Mnaleta umjini kwa mapoti wakati washapewa rungu.
Wewe ni mgeni Tanzania?Huwenda kuna kitu alikifanya huyo ndugu yake Wasingeanza tu kumpa kipondo bila sababu.
-Ndumilakuwili-